Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

Mbowe ni baba yako?
Au unataka akupe msaada?
Mfuate Sabaya hukohuko TAGA wewe.
 
Nendeni gerezani mkamtoe ndugu yenu, MATAGA nyie.
 
Kawaambie mahakamani hayo TAGA wewe.
Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kihalifu wa wamangi kufanya kazi.
 
Mataga acheni kutumia makalio kufikiri.
Robbery kafanyia Arusha inahusikaje na Hai? Hiyo ndio itampiga mimba tulieni muone majambazi wakubwa nyie
Hiyo comment inaonyesha mjinga tu. Huenda ni cheti feki
 
Hawa watoto wa Pido hawawezi kukuelewa; hata ingetokea Ole Sabaya akawa hajatuhumiwa vyovyote vile, lakini kwa kuondolewa kwake wangeshangilia mchana kutwa na usiku kucha.

Si ajabu wameanza kumwandama Ally Happi. Shame!!!
Unachosema ni sahihi hata baada ya kusimamishwa kazi ole sabaya ally hapi naye walihtaji afukuzwe kazi hadi kasesela kiujumla kesi za sabaya ni kama amekuwa mbuzi wa kafala , hizo ni kesi za kisiasa
 
Wacha porojo Sabaya ni wa kunyongwa kabisa...[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Kama alivyokua baba ndivyo alivyokua motto.
Huyu sabaya ni mtoto wa Mzee sabaya aliyekua mkuu wa wilaya ya serengeti enzi zile za utawala wa kikwete.
Je unajua au unakumbuka Mzee huyu alichofanya Kwa wananchi wa wilaya ya serengeti hadi akaundiwa tume ya haki za binadamu na kushitakiwa huko?
Mnajua mwisho wake serikali iliamuriwa kulipa mabilioni kutokana Na mateso makubwa ambayo wananchi waliyopata kupitia mkononi mwa Mzee sabaya Na ndio hali iliyopelekea jk akamfuta u Dc.
Ingekua Leo hata baba yake angeionja magereza.
Sabaya huwezi kumsafisha hats kidogo.
KAMA BABA KAMA MWANA
 
Unachosema ni sahihi hata baada ya kusimamishwa kazi ole sabaya ally hapi naye walihtaji afukuzwe kazi hadi kasesela kiujumla kesi za sabaya ni kama amekuwa mbuzi wa kafala , hizo ni kesi za kisiasa
Ndg ni kweli unasahau jinsi Ali happy alivyomtukana Na kumdharirisha raisi mstaafu kikwete?
Unapopata cheo jaribu sana kuwa Na busara lkn Ali happy alijiona kama yuko mawinguni Na kuwadhsrau wasitaafu wote Na kuwaona sio lolote.
Wahenga walisema USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO.
 
Je umemaliza kumtetea huyo mhuni? Au wewe na jamaa yako mtaandika post nyingine
 
Hakuna binadamu mwenye akili timamu anaemwombea mabaya binadamu mwenzake,Wakwepa kodi ,TRA hawapo mpaka mkuu wa wilaya aamke kukata?!Maana ya mipaka ya madaraka nini?Na tuhuma za Arusha zilikuwa ndani ya mamlaka yake?!Jibu ni hapana ,so,Alikosea kama alienda humo!!Tsubiri mahakama itapima.
 
Unataka kusema jpm alipoenda pale bandarini na kufukua uozo uliosababisha kuzuiwa makinikia alikua nje ya kazi yake? Nje ya ccm naona ndio vilaza wapo tele.πŸ™„πŸ™„
 
Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kihalifu wa wamangi kufanya kazi.
Hajashitakiwa kwa kukamata gongo au hela bandia ngosha! Ameshitakiwa kwa makosa ya Ujambazi wa kutumia silaha,utakatishaji pesa,na mengine ya uhujumu uchumi!! Lini ulisikia kuwa sabaya kashitakiwa kwa kutetea wanyonge? Hebu malizia banana yako ukalale sasa,maana naona zimeshapanda kichwani tayari.
 
Hayo kayaseme mahakamani mkuu,na ukumbuke kwenda na ushahidi wako kabisa! Kinyume na hapo mahakama wala jamii haitakuelewa mami.
 
ilifaa asikuibie hizo elfu 20 pekee.alitakiwa akukate rinda kabisa.maana akili huna.
Sasa yeye ndiye anakatwa marinda muda huu,jamaa wanamla mande poa kabisa,akitoka huko mtamwona akitembea miguu pande.
 
Unataka kusema jpm alipoenda pale bandarini na kufukua uozo uliosababisha kuzuiwa makinikia alikua nje ya kazi yake? Nje ya ccm naona ndio vilaza wapo tele.πŸ™„πŸ™„
Jpm alikuwa rais,head of state na amiri jeshi,usimfananishe na huyo kibaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…