Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

Duu ! mahakama ziko huru zitatenda haki mahakama zinawatu wenye weledi wa kutosha
 
Hai wamelamba galasa au joka limetoka galasa limeingia galasa
 
Tuhuma za Sabaya zilimfikia boss wake nae akujali sababu alikuwa akitimiza wajibu wa kumshughulikia mbowe
 
kmbwembwe njoo usome UHARO wako hapa tena.
 
Baada ya hukumu ya Jana bado unaendelea na msimamo wako au unafuta kauli?

Usipende kutetea ujinga hata Kama wa nyumbani kwako kaufanya. Penda Haki zaidi na Mungu atakubariki
 
Takataka ndani ya jaa la taka.
 
Hawa watoto wa Pido hawawezi kukuelewa; hata ingetokea Ole Sabaya akawa hajatuhumiwa vyovyote vile, lakini kwa kuondolewa kwake wangeshangilia mchana kutwa na usiku kucha.

Si ajabu wameanza kumwandama Ally Happi. Shame!!!
Bado unaamini ulichokiandika?
 
Kwaujinga huu angalia usijekula Mafyako
 
Huyu kmbwembwe kapotelea wapi, mwambieni anatakiwa arudi hapa kuutetea upumbavu wake. Hii inchi imeharibiwa sana na haya matakataka yaliyototolewa kwenye mikesha ya mwenge...yote hayana akili.
 
Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kihalifu wa wamangi kufanya kazi.
Duh, unawaza kwa kutumia nini??
 
Si ungeenda mahakamani kumtetea badala ya kubwabwaja huku
 
Huyu kijana Ole Sabaya alikuwa ni kiongozi mpumbavu sana! Nchi uongozwa kwa mujibu wa sheria na si kihuni kama alivyokuwa anafanya huyu mjinga!
Paulo Makonda naye amekunja mkia wake lakini uovu wake ni mkubwa kuliko wa Ole Sabaya!
Hawa vijana wawili walikuwa wapumbavu sana wakati wa Magufuli!
Walijua Magufuli ni Mungu, Ole Sabaya ngoja akenyee ndo na hata akitoka kwa appeal but psychologically amepata alichopanda!
 
Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kihalifu wa wamangi kufanya kazi.
huyu jamaa ni mmalaya flan anagawa papuch kwa sahan moja ya kyepe zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…