Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbuka kuna mstari mwembamba unaotenganisha genius na chizi japo sina hakika kama opposite ya genius ni chizi kwa kiswahiliGenius ni mtu mwenye uwezo
mkali wa kuinterprate brain signals na kuzitengenezea picha kwa uharaka
zaidi
Watu wengi wenye eidetic memory wanakuwa considered kama ma genius.Mtu
kama Albert Einstein aliweza kutengeneza picha ya space-time continuum
kichwani mwake
Nikolai Tesla hakuhitaji ku draft sketches za electromagnetic coils
wakati ana design transformers.Jamaa ni alikuwa anaona picha ya coil
nzima jinsi inavyozunguka na mapungufu yake kabla hajaitia
karatasini.Ukisoma autobiography yake inaitwa "My Inventions" utaelewa
ninachoongelea hapa
Magenius ni watu wenye high imagination capacity
kumbuka kuna mstari mwembamba unaotenganisha genius na chizi japo sina hakika kama opposite ya genius ni chizi kwa kiswahili
Genius ni mtu mwenye uwezo mkali wa kuinterprate brain signals na kuzitengenezea picha kwa uharaka zaidi
Watu wengi wenye eidetic memory wanakuwa considered kama ma genius.Mtu kama Albert Einstein aliweza kutengeneza picha ya space-time continuum kichwani mwake
Nikolai Tesla hakuhitaji ku draft sketches za electromagnetic coils wakati ana design transformers.Jamaa ni alikuwa anaona picha ya coil nzima jinsi inavyozunguka na mapungufu yake kabla hajaitia karatasini.Ukisoma autobiography yake inaitwa "My Inventions" utaelewa ninachoongelea hapa
Magenius ni watu wenye high imagination capacity
Naweza kupata documents zinazoelezea details zako?
Hivi kwa Uhalisia genius Wanafaa Kuongoza Nchi Ili Kuweza Kuleta Maendeleo Kutokana Na Uwezo Wao Wa Kuwa Na IQ Kubwa
Magenius ni watu wenye high imagination capacity
ANY type of imagination?? Sababu if it is so then nami naelekea elekea kuwa genius...