dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
hapana hao jamaa ni hatar hawafai kuongoza hata ndege. kuna mstar mdogo sana unaotenganisha uchiz na ugenius.
hahaha nimekuelewa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana hao jamaa ni hatar hawafai kuongoza hata ndege. kuna mstar mdogo sana unaotenganisha uchiz na ugenius.
Hahahah mkuu una type gani ya imagination?
Ni kweli mkuu.Wengi wao
wanaishia kuwa na Obsessive Compulsive Disorder(OCD)
Tesla alikuwa obssesed na namba tatu.Kila kitu alichokuwa anafanya
lazima akirudie mara tatu.Kabla ya kuingia apartment kwake alikuwa
anazunguka nyumba mara tatu.Shuka lake la kulala alikuwa anazungusha
mara tatu
Einstein yeye picha hapo chini inajieleza vizuri uchizi wake.Huwezi
kudhani kuwa huyu ndo kagundua ground breaking physics
![]()
Nimecheka sana.So Genius ni kilema.
Ningependa kupata michango kutoka kwenu great thinkers.Nani haswa anapaswa kupewa sifa hiyo ya u genius?
Mkuu ukifungua thread business forum itasaidia zaidi.Jukwaa hili sidhaniNani haswa anaweza kunipa idea ya kilimo kwanza vizuri na kama ana mchanganuo pouwa... Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ningependa kupata michango kutoka kwenu great thinkers.Nani haswa anapaswa kupewa sifa hiyo ya u genius?
Hii topic imenikumbusha dogo mmoja mwanza miaka ya tisini mwishoni maeneo ya mirongo alikuwa mtundu mtundu alikuwa anatengeneza madish na vitu vya umeme mbalimbali mara nyumba za kwenye miti betrii za malimao. funga kazi alitengeneza full recoil rifle kwa vipande vya bomba, springi na mipira ya gari. Ganda la risasi ilikuwa ni yale mabomba ya kupitishia gesi kwenye friji yamekatwa kwa ufundi na kujazwa baruti za diwali. Kitu kilivyotestiwa hakubaki mtu si mashaka geto wala Muvani tulisambaaa wote. Sijui alipotelea wapi lakini nadhani ukikutana na genius utamjua tu, hawa jamaa huwa wanafikiri nje ya uwezo wwaa mtu wa kawaida huyu dogo alikuwa darasa la sita au saba kama sijakosea wakati huo..
Hii topic imenikumbusha
dogo mmoja mwanza miaka ya tisini mwishoni maeneo ya mirongo alikuwa
mtundu mtundu alikuwa anatengeneza madish na vitu vya umeme mbalimbali
mara nyumba za kwenye miti betrii za malimao. funga kazi alitengeneza
full recoil rifle kwa vipande vya bomba, springi na mipira ya gari.
Ganda la risasi ilikuwa ni yale mabomba ya kupitishia gesi kwenye friji
yamekatwa kwa ufundi na kujazwa baruti za diwali. Kitu kilivyotestiwa
hakubaki mtu si mashaka geto wala Muvani tulisambaaa wote. Sijui
alipotelea wapi lakini nadhani ukikutana na genius utamjua tu, hawa
jamaa huwa wanafikiri nje ya uwezo wwaa mtu wa kawaida huyu dogo alikuwa
darasa la sita au saba kama sijakosea wakati huo..
Mkuu ma-genius wengi wenye hata IQ ya 200 wanafanya vitu kwa usahihi usio wa kawaida.Ningependa kupata michango yenu wanajamvi kuhusu ni nan GENIUS kiuhalisia?
kuna wengine hawajasoma lakini ni genious, je tuna wajuaje?