Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Mi namjua jamaa Fulani tulikuwa tunasoma huyu jamaa toka form one alikuwa anatoongoza tena kwa arama za juu kabisa masomo yote huyohuyo aliiongoza katika matokeo ya form four na form six bado pale udsm aliongoza kitivo cha physics sasa hivi yupo Norway kwenye kampuni ya madini kama senior enginner
..........ndio nn sasa hii si historia tu,.....
 
angalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu

Ni kwa darasa lako ndio ilikuwa hivyo sio lazima iwe kwa madarasa yote kwa kila mtu,kwingine ni karibia darasa lote wamefanikiwa ama wamekwama au hao wenye akili ndio wametoka kimaisha.
 
Ni mtu mwenye uwezo wa kufanya mambo juu ya umri wake,matendo meng huwa yapo ndan y umri tulionao, ukifanya jambo ambal ni zaid ya your chronological age utaitwa genius,but pia tunaangalia mazingira n kitendo kam yanaendan au ls
 
Genius ni yule anayekwenda mbali zaidi ya milango yake ya fahamu inapofika. Mfano: Maasikio yamesikia boko haramu wameteka wasichana 230,genius kama wole soyinka anadadisi idadi ya magari yaliyotumika, muda uliotumika kuwakusanya, picha zao ni umri wa wanafunzi .
 
Genius huitumia vyema milango yake ya faham kuan mwalim wangu mmoja aliniambia mtu mwenye akili za kawaida anaweza kuwa genius akaniambia
Chukua mfano wa mtu wa kawaida mtu anaweza kupiga pushup tano ila akajitahid akafikia saba na kama ataendelea kujizoweza ataweza piga pushup hadi masaa mawili bila ya kupumzika huyu tayar uwezo wake wa misuli na pumz utakuwa unawastaajabisha wengi
Kifupi hata mtu kama ataamua kufanyia mazoezi akili yake ipasavyo atafikia kipindi uwezo wake utakuwa wa ajabu na hapo atafaa kuitwa genius
 
angalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu

hi obsarvation yako ni kweli mkuu
 
Mi namjua jamaa Fulani tulikuwa tunasoma huyu jamaa toka form one alikuwa anatoongoza tena kwa arama za juu kabisa masomo yote huyohuyo aliiongoza katika matokeo ya form four na form six bado pale udsm aliongoza kitivo cha physics sasa hivi yupo Norway kwenye kampuni ya madini kama senior enginner

Kuongoza darasani ndilo kigezo cha igenius?last time i checked Isaack Newton alidisco chuo kikuu.

Kumbuka ili ufaulu darasani unapaswa ushike kanunu/masuala uliyofundishwa darasani, genius sio kushika uliyoambiwa bali kwenda mbali zaidi na kuina makosa kwa ulichoambiwa na kukigundua ambacho wengine wakiwemo maprofesa wa wakati huo na walimu wako hawakujua kama kipo.

Magenius hawakubali tu kitu wanachoambiwa, wanakipima kwa uwezo wa juu na kukikataa inapobidi.

Sasa ukiwa shuleni kwenye paper alafu unaulizwa je dunia ina umbo gani?kwa elimu ya zamani waliambiwa ni sahani, sasa mtu kama Gallileo angekujibu sio sahani bali ni duara, kwenye mtihani angefeli.
 
..........ndio nn sasa hii si historia tu,.....

Haa ha ha kwani yeye kasema ni nin?au historia yako kwenye hayo ata hutaki kuikumbuka?historia ni historiam

Japo hiyo aliyosema sio ugenius unaoongelewa.
 
Genius huitumia vyema milango yake ya faham kuan mwalim wangu mmoja aliniambia mtu mwenye akili za kawaida anaweza kuwa genius akaniambia
Chukua mfano wa mtu wa kawaida mtu anaweza kupiga pushup tano ila akajitahid akafikia saba na kama ataendelea kujizoweza ataweza piga pushup hadi masaa mawili bila ya kupumzika huyu tayar uwezo wake wa misuli na pumz utakuwa unawastaajabisha wengi
Kifupi hata mtu kama ataamua kufanyia mazoezi akili yake ipasavyo atafikia kipindi uwezo wake utakuwa wa ajabu na hapo atafaa kuitwa genius

Nakubaliana nawe kwenye kimoja..uwezo mkubwa wa akili ya binadamu beyond limitations.

Kama tungejizoeza kuzitumia akili ipasavyo, kama tungejizoea kuufungua uwezo wetu ukikaa idle tu ndani, kama tungejizoesha kufungua jicho la tatu ambalo tumelifunga muda wote, na kama tungejizoeza kuyafanya mawazo yawe huru kuelekea nje ya mipaka ya tuyajuayo...hapo tusingeongelea tena majini wala mashetani...maana binadamu tunauwezo sawa na huo tunaouotea.

Hakuna kitu kigumu kama kubadilisha lifestyle, na hawa magenius wengi hufanikiwa kufikia huko kwa sababu lifestyle yao sio kama yetu na kwenye maisha ya kawaida hawa ni wajinga na uonekana ni machizi kabisa, lifestyle yao sio yetu.
 
Everybody is a genius but if you judge a fish by its ability to climb a tree,it'll live all its life believing that it's stupid-Albert Einstein.

I'm the definition of genius sema kuzaliwa bongo nako nuksi tu mtu huendelezwi/hupewi mwongozo kuelekea kwenye mlengo wako.

Mfumo wa elimu uko hostile kwetu.

Samaki ukimpeleka nchi kavu hawezi onesha mbwembwe zake.
 
Everybody is a genius but if you judge a fish by its ability to climb a tree,it'll live all its life believing that it's stupid-Anonymous

I'm the definition of genius sema kuzaliwa bongo nako nuksi tu mtu huendelezwi kwenye mlengo wako.

Mfumo wa elimu uko hostile kwetu.

Uyo ni Albert Einstein.... Genius wa kizazi hiki
 
Attachments

  • 1418238364829.jpg
    1418238364829.jpg
    28.9 KB · Views: 663
kumbuka kuna mstari mwembamba unaotenganisha genius na chizi japo sina hakika kama opposite ya genius ni chizi kwa kiswahili

Mi nakubaliana na wewe JOHN F NASH alikuwa genius lakini alikuwa anaonekana chizi mpaka kwa mkewe.
Kuna movie inaitwa #Beautiful_Mind inaelezea maisha yake
Alipata tuzo ya Nobel kwenye mathematics na Economics
 
Back
Top Bottom