Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

ukimuangalia KIKWETE utapata jibu zuri la GENIUS
 
hii mada imenikumbusha miaka ya 99 na 2000 kuna dogo alitengeneza helikopta ya mabati na ikapaa hadi usawa wa nyumba na alikua hajui hata kuandj lkn cjui alipotelea wp
 
kumbuka kuna mstari mwembamba unaotenganisha genius na chizi japo sina hakika kama opposite ya genius ni chizi kwa kiswahili
Unachosema kina ukweli, mi nilisoma na jamaa genius kweli, muda mwingi anasoma vitabu, akiwa anatembea anatikisa kichwa huku akicheka, ukijaribu kubishana nae atakupa evidence mpaka una dhalilika, watu walikuwaga wanamuona kichaa, mtihani wa form 6 alipata 0,lakin ajabu darasani ndo alikuwa anawafundisha. Mambo ya ajabu kweli. Lakin sio vichaa wote ni ma genius. Vice versa is true
 
Genius ni mtu mwenye uwezo mkali wa kuinterprate brain signals na kuzitengenezea picha kwa uharaka zaidi

Watu wengi wenye eidetic memory wanakuwa considered kama ma genius.Mtu kama Albert Einstein aliweza kutengeneza picha ya space-time continuum kichwani mwake

Nikolai Tesla hakuhitaji ku draft sketches za electromagnetic coils wakati ana design transformers.Jamaa ni alikuwa anaona picha ya coil nzima jinsi inavyozunguka na mapungufu yake kabla hajaitia karatasini.Ukisoma autobiography yake inaitwa "My Inventions" utaelewa ninachoongelea hapa

Magenius ni watu wenye high imagination capacity
Nikola Tesla is the true unsung prophetof the electronic age; without whom our radio, auto ignition, telephone, alternating current power generation and transmission, radio and television would all have been impossible. Yet hislife and times have vanished largely from public access
 
That is true comrade.One of the reasons of his supposed "banishment" from the scientific world was his eccentric character near the end of his life

In his late years he grew more weird/crazy/mad postulating propostrous theories such free energy and wireless transmission of electricity

But now scientists are starting to understand him even re-discovering and proving his wireless transmission of electricity hypothesis

This article is intresting
 
Tanzania wapo wengi tu,ila utoaji nafasi ndio hakuna.
 
genius duuuuuuuuuuuh happo ipo kazi lakini wapo wengi2 kama RAIS mwenyewe n:disapointed::disapointed:i GENIUS
 
Je Tundu lissu nae tunaweza mgroup kwenye kundi hili??
 
Genius tend to meditate naturally. They walk in a trance. Wengi wetu huwa hatu meditate mpaka tufundishwe au tusome. The inner self of a genius is always active thinking about a particular thing deeply . Genius anaweza kuongea na kupiga story akati yeye akili yake ya ndani inawaza jambo flani. Hata akilala anawaza hilo jambo bila yeye kujiforce. It is very automatic
 
That is true comrade.One of the reasons of his supposed "banishment" from the scientific world was his eccentric character near the end of his life

In his late years he grew more weird/crazy/mad postulating propostrous theories such free energy and wireless transmission of electricity

But now scientists are starting to understand him even re-discovering and proving his wireless transmission of electricity hypothesis

This article is intresting

thank for article but how could we able to transmit electricity via wireless?
 
ukiona mtu amesoma shule halafu anawaponda wale waliokuwa wanaongoza darasani kuwa ati maisha yao huwa si ya mafanikio ujuo jamaa alikuwa anashika mkia darasani. mbona jamani watu wengi waliokuwa wanaogoza darasani hakuna hata mjinga mmoja anayezagaa mtaani? na mfano mimi niliongoza sana na hadi leo maisha yangu mazuri kuliko wale mazuzu waliokuwa wanashika mkia. kumbe huwa mna hasira sana na sisi tunapowaburuta ehee.poleni.
 
Maneno yako ni kweli kabisa...mimi nilisoma na GENERAL wa sasa wa jeshi letu kuanzia 1967 to 1970 tukiwa wanafunzi140.Huyu Mkuu alikuwa akishika Namba MOJA from day one mpaka tunamaliza form four.
 
Maneno yako ni kweli kabisa...mimi nilisoma na GENERAL wa sasa wa jeshi letu kuanzia 1967 to 1970 tukiwa wanafunzi140.Huyu Mkuu alikuwa akishika Namba MOJA from day one mpaka tunamaliza form four.

Gen Davis Mwamunyange.
 
Back
Top Bottom