Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Maneno yako ni kweli kabisa...mimi nilisoma na GENERAL wa sasa wa jeshi letu kuanzia 1967 to 1970 tukiwa wanafunzi140.Huyu Mkuu alikuwa akishika Namba MOJA from day one mpaka tunamaliza form four.
67 sasa hii name ya masumbuko dogo mbona dizaini kama inakizina na age
 
67 sasa hii name ya masumbuko dogo mbona dizaini kama inakizina na age

Yes.... uko sahihi.... kukujuza ni kwamba Dogo is my first name...kwa nini Dogo?? Kikwetu mtoto wa kwanza wa kiume anachukuwa jina la babu kwa baba,wa pili anachukwa la babu kwa mama.kwa bahati majina ya ma babu yanafanana ndiyo maana nikaitwa Dogo.Masumbuko ni la kimila.
 
sawa mkuu , kanda ya ziwa sio?
 
ukiona mtu amesoma shule halafu anawaponda wale waliokuwa wanaongoza darasani kuwa ati maisha yao huwa si ya mafanikio ujuo jamaa alikuwa anashika mkia darasani. mbona jamani watu wengi waliokuwa wanaogoza darasani hakuna hata mjinga mmoja anayezagaa mtaani? na mfano mimi niliongoza sana na hadi leo maisha yangu mazuri kuliko wale mazuzu waliokuwa wanashika mkia. kumbe huwa mna hasira sana na sisi tunapowaburuta ehee.poleni.

Hahahaha una utani...
 
Genius sio kupanda vidato! genius ni character ya intelligent kama ilivyo clever clogs, intellect,brain box,boffin au egg head.
 
Pamoja na kuleta mada nzuri,tangu siku 3 zilizopita,lakini inashangaza hakuna aliyekujibu,ngoja mimi nifanye kazi hi:Genius ni mtu yeyote ambaye ana uwezo mkubwa wa kutambua mambo kabla hayajajiri,hapa siamanishi eti ni mtabiri,ni mtu ambaye huwezi kamwe kuichezea akili yake,mwepesi wa kuelewa na kujifunza kwa uangalifu wa hali ya juu,mbunifu,jasiri,na anayeweza kufanya maajabu ya karne ktk jukumu lolote alilopewa!

basi Mimi napaswa kutambuliwa kama Genius maana ninauwezo wa kumuambia mtu madhara au hasara atakayo ipata kabla hajafanya anacho taka kufanya na kweli akifanya inakua kama nilivyo muambia
 
ukiona mtu amesoma shule halafu anawaponda wale waliokuwa wanaongoza darasani kuwa ati maisha yao huwa si ya mafanikio ujuo jamaa alikuwa anashika mkia darasani. mbona jamani watu wengi waliokuwa wanaogoza darasani hakuna hata mjinga mmoja anayezagaa mtaani? na mfano mimi niliongoza sana na hadi leo maisha yangu mazuri kuliko wale mazuzu waliokuwa wanashika mkia. kumbe huwa mna hasira sana na sisi tunapowaburuta ehee.poleni.
...mwenyewe ninamaisha mazuri kaka,nilitoka chuo tu na kuajiliwa hapohapo..vilaza watuache...
 
angalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu

Aisee kwa kiasi fulani nnakubariana na ww, darasa letu ss mtu wa 1,2,3 wameishia advanced bac lkn kuanzia mtu wa 4 na kuenderea wamebaatka kufka chuo.
 
Kupitia uzi huu nimegundua kuwa mini pia ni Genius
 
Etymologically speaking, mzizi wa neno "genius" unaturudisha kwenye neno la Kiswahili lililotoholewa kutoka kiarabu "jini".

Mtu anayefaa kuitwa "genius" ni yule.mwenye uwezo usio wa kibinadamu, unaofananishwa na uwezo wa jini.
jini ndo nani
 
Back
Top Bottom