Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

magenius wote wakali wa dunia hawakusoma shule kama isaac newton na wengine so kuwa na iq kubwa kusiwe kigezo cha kuonekana genius wakati uswahilini kuna watu wanaupeo wa kuvumbua vitu kuliko walioko darasani
 
Pancho you are genius men #Joh Makini. Hahaha naona hata kwenye fani nako kuna ma genius
 
Jiniazi ni yule aliyepata max 150 stnd 7,aliyepata pointa sevena olevo,pointa tatu alevo na gpa 5 with honour university ya chuo kikuu
 
magenius wote wakali wa dunia hawakusoma shule kama isaac newton na wengine so kuwa na iq kubwa kusiwe kigezo cha kuonekana genius wakati uswahilini kuna watu wanaupeo wa kuvumbua vitu kuliko walioko darasani

Una uhakika watu kama sir isaac newton, albert eistain, michael faraday hawakusoma au unabahatisha tu, hebu nenda kasome historia zao kwanza
 
inasemekana Sir Isaac Newtons alifeli shule.wengine wanasema ni kutokana na kuwa na fikra za juu kuliko waalimu wake hivyo waalimu wake walikuwa hawakubaliani na mawazo yake kwani yaliwazidi upeo wakawa wanadhani anakosea. All in all newton alikuja kuthibitisha yeye ni jiniaz.
 
In which context?

Scientific, mythological or religious?
Wewe umetumia in which context!? mpaka uka conclude Jini ana uwezo usio wa kibinadamu!? Sasa nataka kwa hiyo context uliyotumia... Sasa ndio nataka kujua jini ni nani!?
 
Context ya Quran. Which is appropriate for the given etymology of the word, which is appropriate for the concept, which is appropriate for your edification.
 
Wewe umetumia in which context!? mpaka uka conclude Jini ana uwezo usio wa kibinadamu!? Sasa nataka kwa hiyo context uliyotumia... Sasa ndio nataka kujua jini ni nani!?
Non theists and Muslims both denies God.
 
Back
Top Bottom