Mkuu mkombengwa, ile tuu hali ya kuwa shetani, tayari ni auasi, hivyo shetani hasi , tayari ni hasi, ila wako mashetani ambao wanatubu na kumrudia Mungu, hawa hugeuka tena malaika.
Hatari zaidi ni wale malaika ambao kwa nje ni malaika lakini kwa ndani ni mashetani!, hivyo hawa wame pose kama malaika but in fact ni mashetani. Malaika hawa ndio waliopanga shambulizi la Lissu, kwa nje ni malaika lakini kwa ndani ni mashetani.
Naendelea na tafakuri yangu kuhusu malaika na shetani, leo nimepokea taarifa ya kuna mtu mmoja ameasi, ila sijajua kama ni alikuwa malaika au shetani. Kama alikuwa malaika na huko alikoasi ni umalaikani, hivyo sasa amegeuka shetani. Lakini kama alikuwa shetani na huko alikoasi ni ushetanini, then atakuwa amegeuka malaika.
Swali la msingi bado limebaki pale pale, nani hatari zaidi kati ya malaika Aliyegeuka shetani na shetani aliyetubu ushetani wake wake na kuondoka kutoka ushetanini ?.
Mkuu Mihogora, posti yako hii, imenikumbusha mbali, ni kweli politics is a dirty game, malaika anawea kabisa kugeuzwa shetani, na shetani akageuzwa malaika!.
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Shetani hakuumbwa kama shetani bali aliumbwa kama malaika, name hapo mwanzo shetani alikuwa malaika ndie malaika mkuu. Hivyo shetani ni malaika aliyeasi. Once umeumbwa malaika, you are always malaika.
P
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Wanabodi, hili ni bandiko la siku nyingi, leo nimetokea tuu kulikumbuka sijui kwa nini?!.
Inawezekana kuna jambo, let's wait and see, ila ikitokea kuna viongozi wetu wowote mtakaolisoma bandiko hili, naomba mjitafakari kama wewe ni malaika au shetani, and just in case, kama Mungu atamua kukuchukua leo au kesho, huko tuendako, utakuwa ni mgeni wa nani?.
P.
Mkuu hii mada yako inachanganya. Malaika kugeuka Shetani ni hatari kwani hakuna asiyejua habari za Shetani na mambo yake. Tatizo ni hilo la pili la Shetani kugeuka Malaika; hili ni gumu kulijadili kwa sababu hatuna japo mfano mmoja. Malaika alishawahi kugeuka Shetani ndio maana leo tunazungumzia habari za Lusifa na mashetani wenzake.
Kwa upande mwingine, haijawahi kusikika au kuandikwa popote Shetani kugeuka Malaika - haipo. Hivyo, sina budi kusema kwamba mfono wako ni irrelevant na Shetani ataendelea kubaki Shetani milele yote.
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Nimelikumbuka bandiko hili kwenye muktadha wa kumpata Spika wetu mpya, kuna mtu anaonekana kama shetani, kwasababu mwanzo alikuwa shetani, lakini sasa ni malaika. Na kuna mtu alikuwa kama malaika na watu wakaamini ni malaika...kama ...asinge ingilia kati...amini usiamini, tungekoma. Hivyo kwenye uspika, tusifanye makosa!.
P
Hoja yako hii ni kweli, hakuna ubishi kuhusu shetani na malaika, shetani is more powerful kuliko malaika kwasababu shetani hufanya mwenyewe na malaika ni kiumbe wa kutumwa tuu!.
Pia shetani has a role, malaika hana role, kwasababu tangu uumbaji wa dunia hii, ni shetani ndie aliuchomeka ule 'mti' na lile 'tunda', bila 'mti' kutumika, 'kumega' lile 'tunda', tusingezaliwa!.
Kwanza sii wengi wanaofahamu kuwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu, the 2i/c to God!, who can do everything God can do ecept creation, yaani God ndiye The Only Creator, hivyo Lucifer alipoasi na kutupwa duniani, alitupwa na nguvu zake, hivyo ana powers kuliko malaika wote!.
Hili la shetani na malaika niliwahi kuliendeshea darasa humu
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! . Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika...
Wanabodi, hili ni swali tuu, inasemekana hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika, akaasi ndipo akageuka shetani, hii maana yake ni kuwa, mtu mwema kabisa, anaweza kuja kubadilika na kugeuka shetani, hivyo hata malaika akijiunga na shetani, hata kama yeye sio shetani, lakini anageuka shetani...
www.jamiiforums.com
Moja ya sifa kuu ya shetani ambayo haifundishwi sana kwenye dini zetu ni uwezo wa shetani kujigeuza, disguises as anything, anyone!.
Kule kwenye bustani ya Eden, baada ya kujigeuza nyoka akapenya bustanini, kule ndani akajigeuza mtu, a handsome boy ndio akamtokea Eva, akamuonyesha 'mti', akamuuliza eva hilo 'tunda' ni la nini?, Eva akasema "Mungu ametukataza kula tunda hili". Shetani akamtempt kwa kumwambia Mungu ni mchoyo, hataki mfaidi utamu, kati ya matunda yote Duniani, 'tunda' lile ndio tunda tamu zaidi kuliko matunda yote, na 'likimegwa' 'tunda' hilo linawapa uwezo wa KiMungu wa kuumba viumbe wengine, yaani to create, creation!.
Shetani akamuonyesha Eva jinsi 'tunda' linavyo megwa kwa practical ya kumega 'tunda' and in fact shetani ndie wa kwanza 'kumega' 'tunda' na Eva, na kweli Eva akauona utamu wa 'tunda' akamfuata Adam na kumlazimisha na yeye 'amege' 'tunda' na kutokana na utamu wa tunda, baada ya Adam na Eva 'kula' 'tunda' kwa kumegeana, wakaishia usingizini, na hiyo zambi ya 'kumega' tunda, au 'kula' 'tunda' ndio dhambi ya asili, the original sin!. Ili binaadamu yoyote azaliwe, lazima hiyo dhambi itendeke!. Sisi Wakristu baada ya kuzaliwa na dhambi ya asili, dhambi hiyo huondolewa kwa kubatizwa.
Bwana wetu Yesu Kristo ndiye pekee aliyezaliwa bila dhambi ya asili, kwa Mama yake, Bikira Maria, kukingiwa dhambi ya asili, kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira, bila 'tunda' lake 'kumegwa'.
Na ndio maana viongozi wetu wa dini sisi Wakatoliki wanakula kiapo cha calibacy , Mapadri hakuna 'kumega', Masista hakuna kutoa 'tunda' 'kumegwa'.
Hivyo shetani yupo very tricky na most of the time he disguises as God!. Kuna watu wanamwabudu shetani wakiaamini ni Mungu!.
Hivyo be very careful!.
Paskali.
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time. Wazuri na wabaya ni hao hao.
Hata shetani mwanzo alikuwa malaika, akageuka kuwa shetani. Mtu anaweza leo kuwa malaika, leo, kisha kesho akawa shetani. Kama ulimsifu akiwa malaika, akigeka shetani utaendelea kusifu ili uwe na msimamo?.
P
Hoja yako hii ni kweli, hakuna ubishi kuhusu shetani na malaika, shetani is more powerful kuliko malaika kwasababu shetani hufanya mwenyewe na malaika ni kiumbe wa kutumwa tuu!.
Pia shetani has a role, malaika hana role, kwasababu tangu uumbaji wa dunia hii, ni shetani ndie aliuchomeka ule 'mti' na lile 'tunda', bila 'mti' kutumika, 'kumega' lile 'tunda', tusingezaliwa!.
Kwanza sii wengi wanaofahamu kuwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu, the 2i/c to God!, who can do everything God can do ecept creation, yaani God ndiye The Only Creator, hivyo Lucifer alipoasi na kutupwa duniani, alitupwa na nguvu zake, hivyo ana powers kuliko malaika wote!.
Hili la shetani na malaika niliwahi kuliendeshea darasa humu
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! . Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika...
Wanabodi, hili ni swali tuu, inasemekana hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika, akaasi ndipo akageuka shetani, hii maana yake ni kuwa, mtu mwema kabisa, anaweza kuja kubadilika na kugeuka shetani, hivyo hata malaika akijiunga na shetani, hata kama yeye sio shetani, lakini anageuka shetani...
www.jamiiforums.com
Moja ya sifa kuu ya shetani ambayo haifundishwi sana kwenye dini zetu ni uwezo wa shetani kujigeuza, disguises as anything, anyone!.
Kule kwenye bustani ya Eden, baada ya kujigeuza nyoka akapenya bustanini, kule ndani akajigeuza mtu, a handsome boy ndio akamtokea Eva, akamuonyesha 'mti', akamuuliza eva hilo 'tunda' ni la nini?, Eva akasema "Mungu ametukataza kula tunda hili". Shetani akamtempt kwa kumwambia Mungu ni mchoyo, hataki mfaidi utamu, kati ya matunda yote Duniani, 'tunda' lile ndio tunda tamu zaidi kuliko matunda yote, na 'likimegwa' 'tunda' hilo linawapa uwezo wa KiMungu wa kuumba viumbe wengine, yaani to create, creation!.
Shetani akamuonyesha Eva jinsi 'tunda' linavyo megwa kwa practical ya kumega 'tunda' and in fact shetani ndie wa kwanza 'kumega' 'tunda' na Eva, na kweli Eva akauona utamu wa 'tunda' akamfuata Adam na kumlazimisha na yeye 'amege' 'tunda' na kutokana na utamu wa tunda, baada ya Adam na Eva 'kula' 'tunda' kwa kumegeana, wakaishia usingizini, na hiyo zambi ya 'kumega' tunda, au 'kula' 'tunda' ndio dhambi ya asili, the original sin!. Ili binaadamu yoyote azaliwe, lazima hiyo dhambi itendeke!. Sisi Wakristu baada ya kuzaliwa na dhambi ya asili, dhambi hiyo huondolewa kwa kubatizwa.
Bwana wetu Yesu Kristo ndiye pekee aliyezaliwa bila dhambi ya asili, kwa Mama yake, Bikira Maria, kukingiwa dhambi ya asili, kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira, bila 'tunda' lake 'kumegwa'.
Na ndio maana viongozi wetu wa dini sisi Wakatoliki wanakula kiapo cha calibacy , Mapadri hakuna 'kumega', Masista hakuna kutoa 'tunda' 'kumegwa'.
Hivyo shetani yupo very tricky na most of the time he disguises as God!. Kuna watu wanamwabudu shetani wakiaamini ni Mungu!.
Hivyo be very careful!.
Paskali.
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Hapa anayezungumzwa ni Edward Lowassa ndie aliyekuwa shetani wa Richmond sasa akageuka malaika Mkombozi.
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.
RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.