Didas Kumbakumba
Senior Member
- Oct 24, 2015
- 148
- 24
Mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Chuwa, kufoji ni kazi ya shetani, baada ya kufeli, ukafoji ukaingia kusoma nursing, ukafaulu, ukawa nesi sasa unafanya kazi ya Mungu. Daudi Bashite baada ya kufeli, alifoji na kujiendeleza akafaulu, sasa anafanya mema. Yaani Mungu anamtumia shetani kufanikisha mipango ya kishetani kisha unatubu na kufanya mema. Hivyo ndivyo alivyokuwa Sauli kabla hajawa Paulo na ndivyo alivyo Daudi Bashite kabla hajawa Paul Makonda, yote ni mipango ya Mungu kufanikisha mambo ya wateule wake. Na hiyo kazi ya RC ni Mungu kampa na tunamtayarisha kumpokea MagufuliNdugu yangu Pasikali (kwa sauti ya Mheshimiwa Raisi), Sasa unataka kuhalalisha UZURI wa shetani aliyebadilika kuwa malaika? Sawa.Tuseme tumekubaliana na hoja yako. Swali: Kwa mantiki hiyo unadhani zoezi la KUHAKIKI vyeti ni halali? Maana, chukulia kwa mfano, Rebeka Mafumu (jina la bandia- kama yupo wa kweli sikukusudia kumtaja kama mfano), alifeli kidato cha Nne. Akachukua cheti cha Kabula Kumalija (jina la bandia tena), akawa Nesi. Je, anakuwa Malaika (aliyetoka ushetanini) ndani ya Jina jipya? Je, uhakiki unaoendelea (ambao wengi tunausifu na kuushangilia) uachwe kisa Mashetani WAMEBADILIKA kuwa MALAIKA ndani ya majina mapya (ya kununua)? Hoja yangu ni hiyo ndugu yangu na rafiki yangu Pasikali....
Tetty hapo kwenye Sauli weka Daudi.
P.
Mkuu Chuwa, kufoji ni kazi ya shetani, baada ya kufeli, ukafoji ukaingia kusoma nursing, ukafaulu, ukawa nesi sasa unafanya kazi ya Mungu. Daudi Bashite baada ya kufeli, alifoji na kujiendeleza akafaulu, sasa anafanya mema. Yaani Mungu anamtumia shetani kufanikisha mipango ya kishetani kisha unatubu na kufanya mema. Hivyo ndivyo alivyokuwa Sauli kabla hajawa Paulo na ndivyo alivyo Daudi Bashite kabla hajawa Paul Makonda, yote ni mipango ya Mungu kufanikisha mambo ya wateule wake. Na hiyo kazi ya RC ni Mungu kampa na tunamtayarisha kumpokea Magufuli
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Paskali
Tetty kinachomata sio akili za darasani bali akili za maisha. Wangapi wanafeli masomo na kukata tamaa ya maisha?. Baada ya kufeli na kuamua kuiba nayo ni akili. Kitendo cha aliyefeli kisha kutumia cheti cha mwingine kujiunga chuo kikuu nayo ni akili. Kitendo cha mtu kichwani mtupu lakini akafaulu chuo kikuu nayo ni akili kubwa. Kitendo cha kujipendekeza hadi kuteuliwa nayo ni akili. Hivyo akili muhimu kabisa sio akili ya darasani, sio vyeti bali akili ya maisha.Tatizo lake hata akienda Chuoni Bashite akifanya mitihani anajikuta yuko Bilicanas,sasa hata hivyo vyeti havimsaidii.Maana nunua cheti halafu kichwa nacho wamo.
Tetty kinachomata sio akili za darasani bali akili za maisha. Wangapi wanafeli masomo na kukata tamaa ya maisha?. Baada ya kufeli na kuamua kuiba nayo ni akili. Kitendo cha aliyefeli kisha kutumia cheti cha mwingine kujiunga chuo kikuu nayo ni akili. Kitendo cha mtu kichwani mtupu lakini akafaulu chuo kikuu nayo ni akili kubwa. Kitendo cha kujipendekeza hadi kuteuliwa nayo ni akili. Hivyo akili muhimu kabisa sio akili ya darasani, sio vyeti bali akili ya maisha.
Jamaa kichwa.
Paskali
Hakuna kesi yoyote kwa sababu hili jambo linasimamiwa na Mungu mwenyewe, aliyefeli ni Daudi Bashite, aliyeiba vyeti ni Daudi Bashite, na mwisho wa Daudi Bashite ni pale alipoiba vyeti na kubadili jina kwa kuzaliwa upya kama Paul Makonda ambaye ni mcha Mungu, mlokole akifanya kazi ya Mungu na kutenda mema. Njia za Mungu sio kama za binaadamu. Mtu wa shetani akitubu na kumrudia Mungu, dhambi zake zote za nyuma zinafutwa.Basi hana akili maana mwenye akili angeng'amua toka mwanzo kujipendekeza lakini unatumia Cheti chako mwenyewe.Mbona Ole Sendeka ana Div.Bashite na ni Mkuu wa Mkoa??Ni kweli cheti siyo msingi wa utajiri ndiyo sababu wafanya biashara wakubwa wengi wana akili za wastani,lakini ukitaka kuwa mwanasiasa kuwa mwaminifu,jipendekeze na jina lako siyo jina la mwenzako.
Bado Bashite anakesi ya kujibu ambayo ni miaka 7 jela
Ndugu yangu Paskali, nimekusoma. kwa maoni yangu sehemu kubwa ya hoja yangu haijajibiwa na BANDIKO lako. Ni Swali: Kwa mantiki hiyo unadhani zoezi la KUHAKIKI vyeti ni halali?Mkuu Chuwa, kufoji ni kazi ya shetani, baada ya kufeli, ukafoji ukaingia kusoma nursing, ukafaulu, ukawa nesi sasa unafanya kazi ya Mungu. Daudi Bashite baada ya kufeli, alifoji na kujiendeleza akafaulu, sasa anafanya mema. Yaani Mungu anamtumia shetani kufanikisha mipango ya kishetani kisha unatubu na kufanya mema. Hivyo ndivyo alivyokuwa Sauli kabla hajawa Paulo na ndivyo alivyo Daudi Bashite kabla hajawa Paul Makonda, yote ni mipango ya Mungu kufanikisha mambo ya wateule wake. Na hiyo kazi ya RC ni Mungu kampa na tunamtayarisha kumpokea Magufuli
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Paskali
Zoezi la kuhakiki vyeti ni halali ili kuwabaini waliofoji vyeti na kuvitumia kupatia ajira kwa elimu ambayo hawana.Ndugu yangu Paskali, nimekusoma. kwa maoni yangu sehemu kubwa ya hoja yangu haijajibiwa na BANDIKO lako. Ni Swali: Kwa mantiki hiyo unadhani zoezi la KUHAKIKI vyeti ni halali?
Paskali. Wewe ni miongoni mwa watu NINAOWAAMINI SANA humu JF na hasa mabandiko yako. Najua WAMFAHAMU VIZURI SANA RC Makonda. Na umeandika hivyo kumhusu. Kwa hiyo UNATUTHIBITISHIA kuwa MAKONDA ALIFOJI JINA na CHETI cha kujiendeleza? Na KUWA ANA JINA la BANDIA?Zoezi la kuhakiki vyeti ni halali ili kuwabaini waliofoji vyeti na kuvitumia kupatia ajira kwa elimu ambayo hawana.
Makonda alifoji jina na kufoji cheti cha kujiendeleza. Darasani aliingia yeye mwenyewe na chuo alihitimu hivyo bandia ni jina tuu.
Kazi ya RC na DC haina vigezo vya elimu.
Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Paskali
Shetani akigeuka Malaika hakuwahi kuwa shetani huyo na malaika akigeuka kuwa shetani naye hakuwahi kuwa malaika! Malaika hawezi kuwa shetani na kinyume chake ni kweli vile vile. MMM
Wanabodi hapa ni katika kukumbushana tuu mambo abstract ya kufikirika tuu sio lazima yawepo in reality.Hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika!, ni baada ya uasi ndipo akawa shetani, na jeshi lake lote la mashetani, wote pia walikua malaika!.
Malaika watiifu waliendelea kuwa malaika but from time to time, baadhi ya malaika watiifu huamua kumfuta shetani, hivyo nao hugeuka mashetani, yaaani the 'fallen angeles!.
Vivyo hivyo baadhi ya watumishi wa shetani na wafuasi wa shetani, wakitubu, humrudia Mungu, na huwa ni furaha kubwa mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu!, hivyo ndivyo alivyokuwa Mtume Paulo!.
Tatizo ni wale malaika ambao waanajiita malaika na kujidai wako kwenye kundi la malaika lakini wanafanya kazi ya shetani!.
Nakutakia kazi njema!.
Paskali
Wanabodi, hii thread japo ni ya zamani, lakini bado iko valid, hapa niliuliza swali, jee ni nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, au shetani aliyegeuka malaika?.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Tafakari na chukua hatua.
Nawatakia Jumatano njema.
Pascal
Mkuu, Aluwatan, hii mada ni kuhusu abstract, it is meant for ma GT tuu, ma GT, huwa hataji majina wala hawa discuss watu, wao wana discuss ideas, hii ni mada ya swali moja rahisi sana kwenye hypothetical situation kuwa hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .Kwa hiyo Mzee Kipara ni malaika aliyegeuka shetani?
If everybody was a "Great Thinker", the world would die of famine.Mkuu, Aluwatan, hii mada ni kuhusu abstract, it is meant for ma GT tuu, ma GT, huwa hataji majina wala hawa discuss watu, wao wana discuss ideas, hii ni mada ya swali moja rahisi sana kwenye hypothetical situation kuwa hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Hapa sizungumzii watu, hatuko kwenye ulimwengu huu wa mwili, tuko kwenye ulimwengu wa roho!.
Paskali
Pasikali, kwa ulimwengu USIO wa MWILI huu, bora SHATANI aliyegeuka kuwa Malaika..na hivyo, aliye HATARI ZAIDI ni Malaika alogeuka kuwa Shetani..Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Hapa sizungumzii watu, hatuko kwenye ulimwengu huu wa mwili, tuko kwenye ulimwengu wa roho!.
Paskali