Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #101
Mkuu mkombengwa, ile tuu hali ya kuwa shetani, tayari ni auasi, hivyo shetani hasi , tayari ni hasi, ila wako mashetani ambao wanatubu na kumrudia Mungu, hawa hugeuka tena malaika.Malaika walioasi yaligeuka mashetani....HIVI KUNA SHETANI ALIYEASI?AJE KUWA MALAIKA!
Mkuu Mihogora, posti yako hii, imenikumbusha mbali, ni kweli politics is a dirty game, malaika anawea kabisa kugeuzwa shetani, na shetani akageuzwa malaika!.In politics,malaika anaweza kugeuzwa shetani na shetani anaweza kupambwa akafanana na malaika!
P.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Tafakari na chukua hatua.
Nawatakia Jumatano njema.
Pascal
Shetani hakuumbwa kama shetani bali aliumbwa kama malaika, name hapo mwanzo shetani alikuwa malaika ndie malaika mkuu. Hivyo shetani ni malaika aliyeasi. Once umeumbwa malaika, you are always malaika.Pascal hebu muogope Mungu toka lini shetani akawa malaika ?
Wanabodi, hili ni bandiko la siku nyingi, leo nimetokea tuu kulikumbuka sijui kwa nini?!.Wanabodi,
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Nawatakia Jumatano njema.
Pascal
Mkuu hii mada yako inachanganya. Malaika kugeuka Shetani ni hatari kwani hakuna asiyejua habari za Shetani na mambo yake. Tatizo ni hilo la pili la Shetani kugeuka Malaika; hili ni gumu kulijadili kwa sababu hatuna japo mfano mmoja. Malaika alishawahi kugeuka Shetani ndio maana leo tunazungumzia habari za Lusifa na mashetani wenzake.
Kwa upande mwingine, haijawahi kusikika au kuandikwa popote Shetani kugeuka Malaika - haipo. Hivyo, sina budi kusema kwamba mfono wako ni irrelevant na Shetani ataendelea kubaki Shetani milele yote.
Nimelikumbuka bandiko hili kwenye muktadha wa kumpata Spika wetu mpya, kuna mtu anaonekana kama shetani, kwasababu mwanzo alikuwa shetani, lakini sasa ni malaika. Na kuna mtu alikuwa kama malaika na watu wakaamini ni malaika...kama ...asinge ingilia kati...amini usiamini, tungekoma. Hivyo kwenye uspika, tusifanye makosa!.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .
Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.
Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.
Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.
Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .
Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.
Tafakari na chukua hatua.
Nawatakia Jumatano njema.
Pascal
Hoja yako hii ni kweli, hakuna ubishi kuhusu shetani na malaika, shetani is more powerful kuliko malaika kwasababu shetani hufanya mwenyewe na malaika ni kiumbe wa kutumwa tuu!.wanajua ww inapokuja swala hela ama madaraka akili yako henda likizo na humsifia hata shetani ni bora kuliko malaika
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time. Wazuri na wabaya ni hao hao.Mkuu @Robert S Gulenga ,
Kuwa na msimamo.
Asante
Mkuu mfate42 , ni kweli, tena sio tuu watakwambia ni mtu mwema, bali tangu akiwa hai tuliwaeleza wema wakeBado Kuna watu watakwambia Ni mtu mwema na akumbukwe daima...
Ndugu zangu binadamu kweli tunatofautiana kimtazamo
Advocate Paskali,Hoja yako hii ni kweli, hakuna ubishi kuhusu shetani na malaika, shetani is more powerful kuliko malaika kwasababu shetani hufanya mwenyewe na malaika ni kiumbe wa kutumwa tuu!.
Pia shetani has a role, malaika hana role, kwasababu tangu uumbaji wa dunia hii, ni shetani ndie aliuchomeka ule 'mti' na lile 'tunda', bila 'mti' kutumika, 'kumega' lile 'tunda', tusingezaliwa!.
Kwanza sii wengi wanaofahamu kuwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu, the 2i/c to God!, who can do everything God can do ecept creation, yaani God ndiye The Only Creator, hivyo Lucifer alipoasi na kutupwa duniani, alitupwa na nguvu zake, hivyo ana powers kuliko malaika wote!.
Hili la shetani na malaika niliwahi kuliendeshea darasa humu
Elections 2015 - Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! . Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika...www.jamiiforums.com
Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani? Shetani akijiunga na malaika anageuka malaika?!
Wanabodi, hili ni swali tuu, inasemekana hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika, akaasi ndipo akageuka shetani, hii maana yake ni kuwa, mtu mwema kabisa, anaweza kuja kubadilika na kugeuka shetani, hivyo hata malaika akijiunga na shetani, hata kama yeye sio shetani, lakini anageuka shetani...www.jamiiforums.com
Moja ya sifa kuu ya shetani ambayo haifundishwi sana kwenye dini zetu ni uwezo wa shetani kujigeuza, disguises as anything, anyone!.
Kule kwenye bustani ya Eden, baada ya kujigeuza nyoka akapenya bustanini, kule ndani akajigeuza mtu, a handsome boy ndio akamtokea Eva, akamuonyesha 'mti', akamuuliza eva hilo 'tunda' ni la nini?, Eva akasema "Mungu ametukataza kula tunda hili". Shetani akamtempt kwa kumwambia Mungu ni mchoyo, hataki mfaidi utamu, kati ya matunda yote Duniani, 'tunda' lile ndio tunda tamu zaidi kuliko matunda yote, na 'likimegwa' 'tunda' hilo linawapa uwezo wa KiMungu wa kuumba viumbe wengine, yaani to create, creation!.
Shetani akamuonyesha Eva jinsi 'tunda' linavyo megwa kwa practical ya kumega 'tunda' and in fact shetani ndie wa kwanza 'kumega' 'tunda' na Eva, na kweli Eva akauona utamu wa 'tunda' akamfuata Adam na kumlazimisha na yeye 'amege' 'tunda' na kutokana na utamu wa tunda, baada ya Adam na Eva 'kula' 'tunda' kwa kumegeana, wakaishia usingizini, na hiyo zambi ya 'kumega' tunda, au 'kula' 'tunda' ndio dhambi ya asili, the original sin!. Ili binaadamu yoyote azaliwe, lazima hiyo dhambi itendeke!. Sisi Wakristu baada ya kuzaliwa na dhambi ya asili, dhambi hiyo huondolewa kwa kubatizwa.
Bwana wetu Yesu Kristo ndiye pekee aliyezaliwa bila dhambi ya asili, kwa Mama yake, Bikira Maria, kukingiwa dhambi ya asili, kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira, bila 'tunda' lake 'kumegwa'.
Na ndio maana viongozi wetu wa dini sisi Wakatoliki wanakula kiapo cha calibacy , Mapadri hakuna 'kumega', Masista hakuna kutoa 'tunda' 'kumegwa'.
Hivyo shetani yupo very tricky na most of the time he disguises as God!. Kuna watu wanamwabudu shetani wakiaamini ni Mungu!.
Hivyo be very careful!.
Paskali.
Wanabodi,