Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh mkuu mbona unanitisha sana mana nipo kanda ya ziwa pande za musoma nimetoa nina kama wiki ila mbona umenikatisha tamaa sana ya kutafuta demu mana nina aleji na demu gogo
Jaribu mkuu, si wote bali wengi ndio wako hivyo. Kisha lete mrejesho.
 
Siku ukikutana na mauno ya kukun'guta siafu ndo utajua hujui [emoji23]


R,I,P, khumbu
 
Kwani hupendi mauno mkuu? Sidhani kama wote wanafundishwa bana ila mpaka mtu anakata viuno mi naona ni kutokana na ile feeling anayoipata kwa muda huo wa tendo. Ni kama hutokea automatically hivi.

Pia kuna hizi stories "usiwe kama gogo jitume! So mtu anaona kujituma ni pamoja na kuyarudi mauno zaidi.
Tukutane inbox tafadhali.
 
Msuguano au friction ya kuigiza na kutoa ndo inaleta utamu sio kukatika kama unataka kuikata. 😂😂

Upo juu ya mstari kijana, kinachotakiwa ni riding, na sio vile kuzungusha kiuno huwa wanaboa sana.
 
Siku ukikutana na mauno ya kukun'guta siafu ndo utajua hujui [emoji23]


R,I,P, khumbu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Salaam


Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila.

Kwa sasa inafanywa na wasichana na wanawake wa makabila yote tena bila kupitia mafunzo hayo yaliyokuwa yakitolewa kwa wasichana maalum, mahali maalum na kwa vipindi maalum.

Sasa siku hizi ukibahatika kupata baadhi ya wasichana/wanawake kutoka kabila lolote wengi wanaijua Sanaa hii vizuri sana tu. Hususan wasichana wangi Kati ya miaka 19 na kuendelea..
Tena wanajua kwa viwango vya juu Sana.


Je, wanafundishwa na nani?
Wanafundishiwa wapi?
Nani alokufundisha kugegeda?
 
Back
Top Bottom