Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Ila huyo anaeteswa isiwe ni wale "TUMA KWENYE NAMBA HII" au alijifanya ni afisa wa kitengo
Ofcourse ndiye kesi itakuwa ya hivyo hivyo sindio maana anaruka kimango anataka apigiwe simu mwengine ambaye ndio aliyetuma sms ya kiduanzi. Wameanza kumcharaza yeye kwanza

Ndio maana jamaa kasema wanakera sana na mchezo wao wa kitoto!
 
Unakubalije kupigwa na raia wenzako kiboya hivyo, mimi kingeumana bora waniue lakini sio kukubali napigwa hivyo, tena watu wenyewe wachache hivyo.
 
😂 😂 😂 😂 ☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️😢😢😢😢😢😢😢
 
Ukisiliza ni kama wasiojulikana wanamsurubu mtu aliyejifanya kuwa nae ni miongoni mwa wasiojulikana, kauli ya jamaa "wanakera hawa wanafanya polisi watufikirie sisi huku kumbe ni hawa jamaa" kauli hii imebeba code ya utambulisho wa wahusika[emoji23]
 
Back
Top Bottom