Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Kwa ninavyojijua mimi huwezi nipiga hivo hata kama unabunduki tena eneo hilo lina mawe inavyoonekana ningeshika kipande cha jiwe hapo lazima mmoja aende kulazwa tena hakufungwa mikono aisee. Kweli kuna watu wanaroho mbaya!!😔
 
Back
Top Bottom