Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Mtu mzima kupigwa hadharani namna hiyo ni kitendo kibaya sana
 
Hii issue ya kujichukulia sheria mkononi inazidi kukua siku baada ya siku,tena siku hizi wanarekodi kabisa! Hua nashindwa kuelewa kabisa lengo la kurekodi hua ni lipi hasa?
Mungu anapiga maluwe luwe ili uovu ujulikane. Huu ni unyama wa kutisha. Nimeangalia mpaka mwili umesisimuka. Binadamu anakuwa katili namna hii? Hivi tuna serikali au tuna mashetani?
 
Ila jamaa wanajua kutandika fimbo
Kalio la jamaa wamelitandika haswaaa
Huyo jamaa nae kiboko haoneshi kama zimemwingia kabisa au sababu ya jeans
Hivi watu wengine mna hisia kweli? Ulitaka afanyeje ndiyo ujue anaumia? Hivi anavyoteseka mpaka amebaki kudokoa macho tu unaweza kusema haumii? Stupid!
 
Mimi namng'ata mtu shingoni. Bora nipewe murder case.
Hutapewa murder case kwa sababu utakuwa umeshakufa. Jaribu kusoma maandishi ukutani. Hao makatili wanaopiga mtu namna hiyo umguse mmoja utapona? Si watakukata kiungo kimoja kimoja mpaka ufe?
 
Ofcourse ndiye kesi itakuwa ya hivyo hivyo sindio maana anaruka kimango anataka apigiwe simu mwengine ambaye ndio aliyetuma sms ya kiduanzi. Wameanza kumcharaza yeye kwanza

Ndio maana jamaa kasema wanakera sana na mchezo wao wa kitoto!
Kwa vyovyote vile na kwa namna yoyote ile. Sheria zipo na mtu kama amekosea apelekwa sehemu inayostahili afungwe hata maisha kama ndivyo sheria ilivyo. Nadhani wengi hamjui madhara ya matendo ya vyombo vya sheria kufanya ukatili wa namna hii, no matter what he has done!
 
Hivi watu wengine mna hisia kweli? Ulitaka afanyeje ndiyo ujue anaumia? Hivi anavyoteseka mpaka amebaki kudokoa macho tu unaweza kusema haumii? Stupid!
Take it easy man
Unawezaje kutukana tu mtu ambaye hamjawahi kuonana na hamjuani
Mtu anacomment upande wake mwingine anavyoona wewe unatukana
 
Take it easy man
Unawezaje kutukana tu mtu ambaye hamjawahi kuonana na hamjuani
Mtu anacomment upande wake mwingine anavyoona wewe unatukana
I cannot take it easy when i am dealing with comment like that. How can you be so blank to recognize the suffering of the victim in the situation like that.
 
Hao wachapaji wanaonekana ni watu kama askari hivi, wanamshughulikia muhalifu, wanajaribu kutoa onyo, hawa vibaka na matapeli wameumiza watu sana na wakienda sheriani kesho wako mtaani wakiumiza mamia ya watu wengine ,acha apate onyo hata akiachiwa akumbuke kuna onyo kabla ya sheria, tumekuwa walalamishi wa kila kitu,walainiii. Watu wakiiba tunalalamika, wakichapwa tunalalamika, kuna aina ya watu lugha wanayoilewa ni hiyo tu,tena wangemuongeza tena na tena. Mpaka aonyeshe wenzake wote! Mnata wahalifu walelewe na jamii, haiwezekani!!
 
Mungu anapiga maluwe luwe ili uovu ujulikane. Huu ni unyama wa kutisha. Nimeangalia mpaka mwili umesisimuka. Binadamu anakuwa katili namna hii? Hivi tuna serikali au tuna mashetani?
Hope wahusika wataiona hiyo clip na hao jamaa watachukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa sheria kama ilivyokua kwa wale wa mambo ya ndani walivyomtesa yule jamaa kipindi kile.
 
Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.

Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if angezimia au kufariki si angeokotwa Msituni au kwenye Kiroba baharini?

Tunaiomba mamlaka (Najua wengine wanatusoma humu) ifuatilie tukio hili, kwa kweli Tanzania kuna sehemu si salama.

View attachment 1849488

Hizi tumepigwa sana kwa kosa la kufeli physics, hiyo ipo poa tu
 
Hao wachapaji wanaonekana ni watu kama askari hivi, wanamshughulikia muhalifu, wanajaribu kutoa onyo, hawa vibaka na matapeli wameumiza watu sana na wakienda sheriani kesho wako mtaani wakiumiza mamia ya watu wengine ,acha apate onyo hata akiachiwa akumbuke kuna onyo kabla ya sheria, tumekuwa walalamishi wa kila kitu,walainiii. Watu wakiiba tunalalamika, wakichapwa tunalalamika, kuna aina ya watu lugha wanayoilewa ni hiyo tu,tena wangemuongeza tena na tena. Mpaka aonyeshe wenzake wote! Mnata wahalifu walelewe na jamii, haiwezekani!!
Watu wanajifanya wana mhurumia jamaa
Mtuhumiwa angekua anajihurumia asingefanya kosa lililopelekea yeye kugombaniwa kama mpira wa kona hapo sasa hv
 
Back
Top Bottom