Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nimeona mahali fulani,mpigwaji mara nyingi hujifanya polisi na atakuwa amewaliza wengi hapo,akajipandisha na kujifanya anatoka intel ya polisi, wenyewe wakasikia na kuanza kumfuatilia na kuweka mtego,inawezekana chambo ilikuwa huyo mtu mwekundu aliyepo hapo.
Hakuna aliebisha kwamba amefanya kosa, lakini kila siku tunahimiza raia kuacha kujichukulia sheria mkononi, sasa wao wanafanya nini hapo? Washughulikiwe
 
Huo muda WA kwenda mahakamani Nani atawalipa ? Solution ni kuacha uhalifu
Solution pia ni kuacha kujichukulia sheria mkononi, maana wengi wameshauwawa wakiwa hawana hatia, pia wanapewa adhabu zisizoendana na makosa yao. Tuache kuvunja sheria kwa mtu alievunka sheria, maana wote mnakuwa wahalifu na mnapaswa kwenda gerezani
 
NI KOSA KUBWA KUJIFANYA AU KUVAA KOFIA YA POLISU WETU WAAMINIFU,KUNA MAOVU MENGI SANA YANAYIFANYWA NA WATU WANAOJIFANYA KUWA NI POLISI,NASISI BILA KUTAFAKARI AU BILA KUJUA TUNAPELEKA MALALAMIKO YETU POLISI TUKIWATUHUMU BURE YOTE KWA SABABU YA WATU WA AINA HII
Kweli kabisa mkuu
 
Hao wachapaji wanaonekana ni watu kama askari hivi, wanamshughulikia muhalifu, wanajaribu kutoa onyo, hawa vibaka na matapeli wameumiza watu sana na wakienda sheriani kesho wako mtaani wakiumiza mamia ya watu wengine ,acha apate onyo hata akiachiwa akumbuke kuna onyo kabla ya sheria, tumekuwa walalamishi wa kila kitu,walainiii. Watu wakiiba tunalalamika, wakichapwa tunalalamika, kuna aina ya watu lugha wanayoilewa ni hiyo tu,tena wangemuongeza tena na tena. Mpaka aonyeshe wenzake wote! Mnata wahalifu walelewe na jamii, haiwezekani!!
Well said mkuu
 
NI KOSA KUBWA KUJIFANYA AU KUVAA KOFIA YA POLISU WETU WAAMINIFU,KUNA MAOVU MENGI SANA YANAYIFANYWA NA WATU WANAOJIFANYA KUWA NI POLISI,NASISI BILA KUTAFAKARI AU BILA KUJUA TUNAPELEKA MALALAMIKO YETU POLISI TUKIWATUHUMU BURE YOTE KWA SABABU YA WATU WA AINA HII
Wewe ni Polisi. Raia wachache sana wanaweza kutumia neno polisi waaminifu. Wachache sana.
 
sasa kama linatumia simu kindezi kama haya mapopoma mengine humu jf kwanini lisionywe!!!

stick bado ni adhabu rasmi kwa watu wakorofi[emoji23][emoji23][emoji23].
Kapost nini huyo jamaa [emoji23][emoji23]
 
Nimeona mahali fulani,mpigwaji mara nyingi hujifanya polisi na atakuwa amewaliza wengi hapo,akajipandisha na kujifanya anatoka intel ya polisi, wenyewe wakasikia na kuanza kumfuatilia na kuweka mtego,inawezekana chambo ilikuwa huyo mtu mwekundu aliyepo hapo.
Hajajifanya kutoka intel ya polisi, wanaompiga siyo polisi(kwa sababu mmoja wao niliyemtambua anatoka idara nyingine, nilishafanya Naye kazi 'joint operation') hivyo hata hao wengine bila shaka watakuwa nae upande huo.
 
Haya tumeona anayepiga mgambo wa jiji la Ilala sawa si mnajua op zenu mlikutana jeikeitiii mazee ila mwambie ameonekana akifanya unyama hadharani
 
Hajajifanya kutoka intel ya polisi, wanaompiga siyo polisi(kwa sababu mmoja wao niliyemtambua anatoka idara nyingine, nilishafanya Naye kazi 'joint operation') hivyo hata hao wengine bila shaka watakuwa nae upande huo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndomaana taskforce watu hawazipendi. Unless wakubwa walishaamua kuwa wako tayari "uumbuke"
 
Back
Top Bottom