Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Codes zako kuruti haziungi Dot
Huwezi elewa maana una upeo mfinyu, uwezo duni wa akili.
Ukisikia OP kinachokujia akilini mwako ni uzezeta uliokupotezea muda enzi unatafuta maisha ukaenda kupigika miaka3 ili uajiriwe.
'Joint operation' ni operation ya pamoja inayofanywa kwa ushirikiano wa vyombo mbalimbali na huko ndipo nilipomfaham huyo jambazi mwenzako anayetandika huyo mtu, pole kwa kupoteza muda wako jkt na kukosa ajira mdogo wangu, lawama zako zipeleke kwa marehemu pombe
 
Lawama zipi mzee we pambana tu kiume ila ujue watakufirigisa vibaya mno kama huna skills za kupigana [emoji23][emoji23][emoji23] yani utarusha ngumi mbili 3 ila kinachofata wakikubana watakufirra
Kumbe Polisi wa Tanzania wanafira? We unaona kosa la utapeli ni kubwa kiasi cha binadamu kupewa kipigo bila mpangilio?
Ungejua makosa ya viongozi wa CCM walio madarakani na huo wizi wao wa mabilioni ya fedha za umma ambazo zingeweza kuokoa maisha ya watu wengi wanaokosa tiba kwa serikali kukosa pesa basi ungesema wachomwe moto kabisa.
Lakini usikute hao unawashabikia bila kujua.
 
Sishabikii wizi ila tofauti ya wizi wa kifisadi na utapeli wa tuma kwenye namba hii ni kwamba ule ufisadi ni hela za serikali ambazo hazina mwenyewe na zinaweza kubadilisha maisha ya hakimu na vibaraka wake ndani ya sekunde chache mno endapo watakaa chini na kukubali kumegewa fungu dogo tu na ndio maana huoni mafisadi wakipigwa virungu wala kuchomwa moto!

Ila utapeli wa “Tuma kwa namba hii” ni biashara ya kutiana umasikini wa wananchi wenyewe kwa wenyewe so social justice lazma ita prevail!
 
Hao ndio watu waliopo Tanzania. Roho mbaya, katili, wasiojali na kuthamini utu wa mtu.
Hiyo ndiyo legacy pekee aliyotuachia Mwendazake
Kule mkoani X kuna nyakati unyama ulikuwa unafanyika kuchuna binadamu ngozi, sijawahi kusikia unyama wa namna hii katika maisha yangu.

Baadae ikazuka tabia ya kukata viungo vya binadamu wenzetu wenye ualbino, hii tabia ya kishenzi na kinyama sijui ni legacy ya nani.

Kifupi tu, muacheni mwendazake apumzike, hii mitabia yenu ya roho mbaya na unyama haikuanza jana. Leo mnatafuta relief kwa kusingizia madhaifu yenu kwa mwingine. Africans kuna mahali tuna shida kubwa...
 
Shangazi codes zako ni sufuri e
Hueleweki dada

Huwezi elewa maana una upeo mfinyu, uwezo duni wa akili.
Ukisikia OP kinachokujia akilini mwako ni uzezeta uliokupotezea muda enzi unatafuta maisha ukaenda kupigika miaka3 ili uajiriwe.
'Joint operation' ni operation ya pamoja inayofanywa kwa ushirikiano wa vyombo mbalimbali na huko ndipo nilipomfaham huyo jambazi mwenzako anayetandika huyo mtu, pole kwa kupoteza muda wako jkt na kukosa ajira mdogo wangu, lawama zako zipeleke kwa marehemu pom
Ku
Huwezi elewa maana una upeo mfinyu, uwezo duni wa akili.
Ukisikia OP kinachokujia akilini mwako ni uzezeta uliokupotezea muda enzi unatafuta maisha ukaenda kupigika miaka3 ili uajiriwe.
'Joint operation' ni operation ya pamoja inayofanywa kwa ushirikiano wa vyombo mbalimbali na huko ndipo nilipomfaham huyo jambazi mwenzako anayetandika huyo mtu, pole kwa kupoteza muda wako jkt na kukosa ajira mdogo wangu, lawama zako zipeleke kwa marehemu pombe
Kumbe nawe jambazi tu, unajuana na watesi wenzio ila najua ndo mbinu zenu za kuvuta mshiko kwa wananchi eti afande Mimi najua wewe ni Askari siyo afande na ndo maana ulitumwa kwenda joint op Kisha upeleke jibu kwa afande acha hizo mnashindwa kifanya interrogation mnapiga mpaka kuua wafikishie ujumbe wenzio kuwa zama zimebadilika
 
Ukisiliza ni kama wasiojulikana wanamsurubu mtu aliyejifanya kuwa nae ni miongoni mwa wasiojulikana, kauli ya jamaa "wanakera hawa wanafanya polisi watufikirie sisi huku kumbe ni hawa jamaa" kauli hii imebeba code ya utambulisho wa wahusika[emoji23]
Ni kweli mkuu huyo anaweza kuwa tapeli anatumia mwamvuli wa kujifanya mtu wa usalama.
 
Hii picha akiiona Mama, kuna mtu hana ajira. na ni rahisi kuwatambua wote kwa sababu Namba ya gari iliyopark inasomeka vizuri
Sio gari tu hata sura zao zinaonekana ikiwa pamoja na huyo anaesurubiwa.
 
Kumbe Polisi wa Tanzania wanafira? We unaona kosa la utapeli ni kubwa kiasi cha binadamu kupewa kipigo bila mpangilio?
Ungejua makosa ya viongozi wa CCM walio madarakani na huo wizi wao wa mabilioni ya fedha za umma ambazo zingeweza kuokoa maisha ya watu wengi wanaokosa tiba kwa serikali kukosa pesa basi ungesema wachomwe moto kabisa.
Lakini usikute hao unawashabikia bila kujua.
Aiseee haujaibiwa wewe mm nkikamata mwizi au tapeli kwa jinsi walivonfanyia Bora nkaoze gerezani ...siwezi tetea mwizi mimi
 
Ila bora hawa wanamchapa na fimbo kuliko wale wanapiga na mawe na visu au moto
 
Back
Top Bottom