Hope wahusika wataiona hiyo clip na hao jamaa watachukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa sheria kama ilivyokua kwa wale wa mambo ya ndani walivyomtesa yule jamaa kipindi kile.
Ukipona hapo unarudi kuipiga petrol nyumba maumivu mpate woteSiyo wote wanauweza hivyo mkuu