Nataka kushusha cheti cha bachelor degree niweke driving certificate, inawezekana???NIMEFANIKIWA WAMEKIFUTA
Umekitoaje?HATIMAE CHETI WAMEKIFUTA
mimi ndo nlichokufanya mkuu wakakifuta kabsaaa do nta add upya. ila mara yakwanza walikataa nikawavuruga apo wenyew wakachanganikiwa wakaona wakitoe tuNataka kushusha cheti cha bachelor degree niweke driving certificate, inawezekana???