Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Hiyo package ya dady care mna huduma ya boarding?
Nna safari ya wiki, nataka niwaachie mme wangu hapo....
Kuna studio room hapa, special kwa wanaokaa siku zaidi ya 3.
Mlete shemeji afurahie 'kucheza nje ya nyumbani'.
Huduma zetu ni bora na zinafaa kwa rika lote.
...halafu kwanini unamuacha wiki, huna wivu shoga?
 
Kama utakuwa na wasiwasi, unaweza kuja na wifi akusindikize na ashuhudie jinsi tunavyokuhudumia ili kuzima ule uvumi wa kuwa massages center ni nusu danguro ila tu asiwe na jazba.
Hapana mie nataka unihudumie wewe tu ntakuja mwenyewe au kama utahofia basi tutapata wasaa wa huduma hio katika mazingira ya hotelini uje na vifaa tu!
 
Kuna studio room hapa, special kwa wanaokaa siku zaidi ya 3.
Mlete shemeji afurahie 'kucheza nje ya nyumbani'.
Huduma zetu ni bora na zinafaa kwa rika lote.
...halafu kwanini unamuacha wiki, huna wivu shoga?
Wivu tena? Si namuacha ofisini jamani au mtamfanya nini huko?
 
Duuhhh aisee kweli mjini kuna raha.
 
Wew umejibu kidini zaidi ndio maana hujapata likes nyingi
Hapa hutoeleweka ila siku ya hukumu watakukumbuka in shaa Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…