Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Hiyo package ya dady care mna huduma ya boarding?
Nna safari ya wiki, nataka niwaachie mme wangu hapo....
Kuna studio room hapa, special kwa wanaokaa siku zaidi ya 3.
Mlete shemeji afurahie 'kucheza nje ya nyumbani'.
Huduma zetu ni bora na zinafaa kwa rika lote.
...halafu kwanini unamuacha wiki, huna wivu shoga?
 
Kama utakuwa na wasiwasi, unaweza kuja na wifi akusindikize na ashuhudie jinsi tunavyokuhudumia ili kuzima ule uvumi wa kuwa massages center ni nusu danguro ila tu asiwe na jazba.
Hapana mie nataka unihudumie wewe tu ntakuja mwenyewe au kama utahofia basi tutapata wasaa wa huduma hio katika mazingira ya hotelini uje na vifaa tu!
 
Kuna studio room hapa, special kwa wanaokaa siku zaidi ya 3.
Mlete shemeji afurahie 'kucheza nje ya nyumbani'.
Huduma zetu ni bora na zinafaa kwa rika lote.
...halafu kwanini unamuacha wiki, huna wivu shoga?
Wivu tena? Si namuacha ofisini jamani au mtamfanya nini huko?
 
Kulea wanaume ambao wake zao wakorofi siku za weekend.
Unajua wanaume wengi siku za Jumamosi na Jumapili hawaendi kazini hivo hushinda nyumbani.
Sasa katika hao kuna baadhi wake zako ni wakorofi na wana midomo sana wakishinda nao nyumbani.
sa sisi tunachofanya ni kushinda na mume wa mtu siku nzima na pia kupatiwa huduma mbalimbali sawia na zile za kwa mkewe.
Karibu.
Duuhhh aisee kweli mjini kuna raha.
 
Kwa maelezo hayo ,hizo massage houses nyingi kwa ajili ya biashara ya ukahaba.Halafu serikali imemute kabisa , ni kazi za uzalilishaji wa dada zetu,sina uhakika kama wale wahudumu wanafanya zile extra service za kishenzi wilingly,zaidi tu ni sawa na biashara za utumikishaji wa kingono ikiwa unataka massage sahihi fanyiwa na your same sex au your spouse
Wew umejibu kidini zaidi ndio maana hujapata likes nyingi
Hapa hutoeleweka ila siku ya hukumu watakukumbuka in shaa Allah
 
Back
Top Bottom