Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Kulea wanaume ambao wake zao wakorofi siku za weekend.
Unajua wanaume wengi siku za Jumamosi na Jumapili hawaendi kazini hivo hushinda nyumbani.
Sasa katika hao kuna baadhi wake zako ni wakorofi na wana midomo sana wakishinda nao nyumbani.
sa sisi tunachofanya ni kushinda na mume wa mtu siku nzima na pia kupatiwa huduma mbalimbali sawia na zile za kwa mkewe.
Karibu.
Ufungue branch kama shishi food[emoji4]
 
Yani hizi mada huwa zinakuja zinatrend tunaongea Kila kitu mpaka vinaisha vyakuongea mada inakufa....tunasahau halafu inarudi tena Kwa style tofauti
 
Back
Top Bottom