Nani kaiona Planet Jupiter jana saa tisa usiku?

Nani kaiona Planet Jupiter jana saa tisa usiku?

Kwa siku tatu mfululizo sayari ya Jupiter imekuwa ikionekana mida ya saa tisa usiku (alfajiri?) Katika anga la sayari ya dunia.

Amka leo saa tisa usiku Kisha tazama uelekeo linapo toka just kwa juu yake kidogo utaiona Sayari ya Jupiter ina n'gaa . Inatoa mwanga wa rangi ya njano kama jezi za Yanga.

Unajuaje kama no Sayari na sio nyota? Tofauti Kati ya nyota na Sayari angani ni nyota hutoa mwanga unao meta meta lakini Sayari hutoa mwanga ambao haumeti meti.

Ninajuaje kwamba hiyo ni Sayari ya Jupiter?

Jibu ni:

1. Lunar calendar

2. Moonology

3. Astrology

4. Astronomy and

5. Mathematics more especially Arithmetic and Geometry more especially Sacred Geometry.

KWA WALE WAPENZI WA MWONEKANO WA SAYARI YA VENUS.

Sayari ya Venus huwa inaonekana saa kumi na moja kasorobo (that's why inaitwa Nyota ya alfajiri.

Sayari ya Venus huwa inatoa mwanga mweupe unao n'gaa Sana. It's so amazing to watch upon it.

Muda wa Venus kuonekana kwenye anga la dunia ni mwezi wa kumi na moja.

I love space

View attachment 1792558
Jupiter ni sayari kubwa kuliko dunia ilitakiwa ukiwa ndani ya Jupiter ndiyo uione dunia...acha pumba
 
Ukubwa wa jupite ukiringanisha na dunia, kama dunia ni zabibu bas jupiter ni sawa na mpira wa basketball.
Chini ya mawingo ya jipiter ni mwendo wa mvua kali na radi na sehemu kubwa ikiwa imejaa milipuko ya volcano na bahari. Lakini siyo bahari ya maji ba amonia.
Ile rangi ya jupiter kama mikanda ni vimbunga vinavyokimbia kwa kasi sana.
Yani hata binadamu angeweza kupeleka chombo kikaingia ndani ya jupiter kisingeweza kutuma taarifa yoyote baada ya hapo.
Mmmh! huku si ndio jehanamu kwenyewe sasa! Bahari ya Ammonia mwe! mwe! mwe!
 
Ukubwa wa jupite ukiringanisha na dunia, kama dunia ni zabibu bas jupiter ni sawa na mpira wa basketball.
Chini ya mawingo ya jipiter ni mwendo wa mvua kali na radi na sehemu kubwa ikiwa imejaa milipuko ya volcano na bahari. Lakini siyo bahari ya maji ba amonia.
Ile rangi ya jupiter kama mikanda ni vimbunga vinavyokimbia kwa kasi sana.
Yani hata binadamu angeweza kupeleka chombo kikaingia ndani ya jupiter kisingeweza kutuma taarifa yoyote baada ya hapo.
Usije ukawa unachanganya Jupiter na Saturn mkuu?
 
Duu hatari na nusu mkuu hebu nipe hints umesema bahari yake ina kitu gani kitaalamu please
Natanguliza shukrani!
Nimechanganya kidogo, ila bahari yake ni liquid hydrogen, yani kutokana na mgandamizo hydrogen imegandamizwa mpaka ikawa katika kimiminika. Pia jupiter mpaka sasa imegunduliwa miezi 79 inayoizunguka. Ni sayari ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom