Nani kaiona Planet Jupiter jana saa tisa usiku?

Jupiter ni sayari kubwa kuliko dunia ilitakiwa ukiwa ndani ya Jupiter ndiyo uione dunia...acha pumba
 
Mmmh! huku si ndio jehanamu kwenyewe sasa! Bahari ya Ammonia mwe! mwe! mwe!
 
Usije ukawa unachanganya Jupiter na Saturn mkuu?
 
Duu hatari na nusu mkuu hebu nipe hints umesema bahari yake ina kitu gani kitaalamu please
Natanguliza shukrani!
Nimechanganya kidogo, ila bahari yake ni liquid hydrogen, yani kutokana na mgandamizo hydrogen imegandamizwa mpaka ikawa katika kimiminika. Pia jupiter mpaka sasa imegunduliwa miezi 79 inayoizunguka. Ni sayari ya ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…