Hii ngoma hii inanikumbusha enzi niko high school huko mwanza yani ile album yake ilikuwa ni noma.
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni 😁🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya zamani ila ikipigwa hata sasa hivi watu wanaburudika na kucheza.......
DuuuhHata blaza mond anafanya ivo
This guy is overrated hamna kipya sana kuna watu kama jadakiss ukiwasikiliza utaelewa maana ya hiphop,ndio maanq kipindi chq 2pac kumdiss lipotea akaanza kuvuma livofariki his just a soft artist and an opportunist,ukitaka kujua uchawi upo jiulize beyonce kampate kama sio bibi yuko mtwara huko..
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya zamani ila ikipigwa hata sasa hivi watu wanaburudika na kucheza.......
Jadakiss mkali sana, ana album moja aliitoa 2017 na Fabolous inaitwa "Friday on Elm Street" nikagundua jamaa ana cosistency ya hali ya juu licha ya kuwa kwenye game muda mrefu. Hata mtandao wa DatPiff amevunja records zake kwenye mixtape zilizowahi kusikilizwa sana kwa muda wote.This guy is overrated hamna kipya sana kuna watu kama jadakiss ukiwasikiliza utaelewa maana ya hiphop,ndio maanq kipindi chq 2pac kumdiss lipotea akaanza kuvuma livofariki his just a soft artist and an opportunist,ukitaka kujua uchawi upo jiulize beyonce kampate kama sio bibi yuko mtwara huko..
True that. Jigga yuko overrated sana. Kwangu hata top five hayupo. Anafikia hata nusu ya uwezo wa Nas huyu? Kina Mos def, talib kweli, Common, Jadakiss n the likes.He is over-rated, hana lolote
True that. Jigga yuko overrated sana. Kwangu hata top five hayupo. Anafikia hata nusu ya uwezo wa Nas huyu? Kina Mos def, talib kweli, Common, Jadakiss n the likes.
"I went from the favorite...to the most-hated, But would you rather be underpaid or overrated?" - JAY ZHe is over-rated, hana lolote
"I went from the favorite...to the most-hated, But would you rather be underpaigd or overrated?" - JAY Z
JAY Z ni MC mkali, I dont get the hate, labda kwa sababu ya umaarufu kutokana na mainstream success."If skills sold truth be told,
I'd probably be lyrically Talib Kweli,
Truthfully I want to rhyme like Common Sense (But I did five Mil),
I ain't been rhyming like Common since"
- Jay Z
Ukiacha Grammies, billboard ana album 14 zilizokaa namba 1. Hakuna msanii mwingine wa hip hop aliyeweza kufanya hicho kitu, kwenye Album yake ya kwanza Reasonable doubt mwaka 1996 kuna track alisemaJAY Z ni MC mkali, I dont get the hate, labda kwa sababu ya umaarufu kutokana na mainstream success.
Plus nigga got 23 Grammies, na Yeye mwenyewe anasema numbers don't lie.
Unajua side inayokuja na hii notion kwamba Jay Z is overrated ni hivi vitoto vinavyowasikiliza Kina Migos,Young Thug,Lil peep sijui Lil NyokoUkiacha Grammies, billboard ana album 14 zilizokaa namba 1. Hakuna msanii mwingine wa hip hop aliyeweza kufanya hicho kitu, kwenye Album yake ya kwanza Reasonable doubt mwaka 1996 kuna track alisema
"You never ready, forever petty minds stay petty,
Mine's thinkin' longevity until I'm seventy"
25 years later, bado jamaa ana influence kubwa kwenye game na akitoa album kuna kitu kipya utajifunza na bado itapiga numbers ambazo wasanii wachache wanaweza kuzifikia.
Kama ulivyosema aliye juu siku zote lazima achukiwe na wengi watajaribu kumvuta chini kwa kusema fulani yupo better mbona..huyu hamna kitu. Ila ukweli unabaki pale pale kwa wasanii wa hip hop Jay Z anastahili heshima yake.
Hizo ngoma nazozielewa sanaHard Knock Life (Ghetto Anthem), Otis ft Kanye West, Run this town ft Rihanna and Kanye West, Forever Young. Hizo ni chache ninazozielewa kwake