Nani kama Jay-,Z??? Lol

Nani kama Jay-,Z??? Lol

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268

Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni 😁🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya zamani ila ikipigwa hata sasa hivi watu wanaburudika na kucheza.......
 
Mleta mada unawajua WAHUNI wewe? Hawa ndio WAHUNI sasa achana na hao wa Polepole.
 
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni 😁🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya zamani ila ikipigwa hata sasa hivi watu wanaburudika na kucheza.......

Hii ngoma hii inanikumbusha enzi niko high school huko mwanza yani ile album yake ilikuwa ni noma.
Alienda kwa Timbaland, kamsikirizisha beat zote jigga anatikisa tu kichwa, alipopiga hii beat ya hii ngoma jigga hadi uso ulibadilika, Timbaland akaanza dance kama anajfuta uchafu kwenye mabega, jigga akanyanyuka na kuanza kufreestyle kilichofuata ni booth
 
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya zamani ila ikipigwa hata sasa hivi watu wanaburudika na kucheza.......
This guy is overrated hamna kipya sana kuna watu kama jadakiss ukiwasikiliza utaelewa maana ya hiphop,ndio maanq kipindi chq 2pac kumdiss lipotea akaanza kuvuma livofariki his just a soft artist and an opportunist,ukitaka kujua uchawi upo jiulize beyonce kampate kama sio bibi yuko mtwara huko..
 
Jadakiss mkali sana, ana album moja aliitoa 2017 na Fabolous inaitwa "Friday on Elm Street" nikagundua jamaa ana cosistency ya hali ya juu licha ya kuwa kwenye game muda mrefu. Hata mtandao wa DatPiff amevunja records zake kwenye mixtape zilizowahi kusikilizwa sana kwa muda wote.

Jay Z umemnanga sana, hes just a hustler and businessman bro. Na music ni subjective bro, kila mtu anarelate na music kutokana na ulivyomu-impact kwenye maisha yake halisi.
 
True that. Jigga yuko overrated sana. Kwangu hata top five hayupo. Anafikia hata nusu ya uwezo wa Nas huyu? Kina Mos def, talib kweli, Common, Jadakiss n the likes.
He is over-rated, hana lolote
"I went from the favorite...to the most-hated, But would you rather be underpaid or overrated?" - JAY Z
 
"If skills sold truth be told,
I'd probably be lyrically Talib Kweli,
Truthfully I want to rhyme like Common Sense (But I did five Mil),
I ain't been rhyming like Common since"

- Jay Z
JAY Z ni MC mkali, I dont get the hate, labda kwa sababu ya umaarufu kutokana na mainstream success.
Plus nigga got 23 Grammies, na Yeye mwenyewe anasema numbers don't lie.
 
JAY Z ni MC mkali, I dont get the hate, labda kwa sababu ya umaarufu kutokana na mainstream success.
Plus nigga got 23 Grammies, na Yeye mwenyewe anasema numbers don't lie.
Ukiacha Grammies, billboard ana album 14 zilizokaa namba 1. Hakuna msanii mwingine wa hip hop aliyeweza kufanya hicho kitu, kwenye Album yake ya kwanza Reasonable doubt mwaka 1996 kuna track alisema

"You never ready, forever petty minds stay petty,
Mine's thinkin' longevity until I'm seventy"

25 years later, bado jamaa ana influence kubwa kwenye game na akitoa album kuna kitu kipya utajifunza na bado itapiga numbers ambazo wasanii wachache wanaweza kuzifikia.

Kama ulivyosema aliye juu siku zote lazima achukiwe na wengi watajaribu kumvuta chini kwa kusema fulani yupo better mbona..huyu hamna kitu. Ila ukweli unabaki pale pale kwa wasanii wa hip hop Jay Z anastahili heshima yake.
 
Unajua side inayokuja na hii notion kwamba Jay Z is overrated ni hivi vitoto vinavyowasikiliza Kina Migos,Young Thug,Lil peep sijui Lil Nyoko
Wakisikia mstari unarudiwarudiwa "Gucci gang×6" wanadhani hapo ndipo Hiphop ilipoishia wanashindwa kujua HIPHOP is all about being Lyrical na Jay Z is a true lyricist, rekodi ulizozitaja hapo hazijaja tu kwa upendeleo ni kwamba watu huko ulimwenguni wanakubali kazi yake hakuna cha kubebwa wala nini,that Nigga alianza kushine tangu enzi hizo yupo Def Jam Recordings akiwa kinda kabisa.. Kuna dogo aliingia ofisini kwangu akakuta nina playlist ya Jay Z tupu kwenye Windows Media player akaanza ooh huyu rapper ni wa kawaida sana nikaplay "I just i died in your arms tonight " nikamwambia asikilize halafu aniambie amegain nini na nikamwambia kabisa hiyo ngoma Jay Z kaitoa for fun tu sio Debut Song kamaliza kusikiliza eti oooh sijagain kitu nkamwambia hujui HIP HOP mother Fanta toka ofisini kwangu😃
 
Back
Top Bottom