Ukiacha Grammies, billboard ana album 14 zilizokaa namba 1. Hakuna msanii mwingine wa hip hop aliyeweza kufanya hicho kitu, kwenye Album yake ya kwanza Reasonable doubt mwaka 1996 kuna track alisema
"You never ready, forever petty minds stay petty,
Mine's thinkin' longevity until I'm seventy"
25 years later, bado jamaa ana influence kubwa kwenye game na akitoa album kuna kitu kipya utajifunza na bado itapiga numbers ambazo wasanii wachache wanaweza kuzifikia.
Kama ulivyosema aliye juu siku zote lazima achukiwe na wengi watajaribu kumvuta chini kwa kusema fulani yupo better mbona..huyu hamna kitu. Ila ukweli unabaki pale pale kwa wasanii wa hip hop Jay Z anastahili heshima yake.