2pac hakuwahi kuwa na mtotoI finally understand
For a women it ain't easy tryin to rise a man
You always was committed
A poor single mother on welfare, tell me how you did it.
There is no way I can pay you back
But my plan is to show you that I understand
You are appreciated.
Na sio wote wanatelekezwa, wengine tatizo lipo kwa mama.huo ni msemo tu umeshika kasi hauna mantiki yeyote kwa kweli,
wanaofaa kusema hivyo ni waliotelekezwa na baba zao
tofauti na hapo, sio busara kulinganisha wazazi
kwetu sisi wakristo, wanaume huwa tunawapenda sana wamama zetu. lakini kitu tusichojua ni kwamba tunatakiwa kuwapenda wote na kuwaheshimu but at the end of the day, tamko la baraka la baba ndilo lenye nguvu kuliko la mama. Yakobo, Ibrahim, na Isaka wote walitoa baraka kwa watoto wao. mtoto anakuja, unamwekea mkono unamtamkia maneno ya baraka na yanatokea. hakuna hata sehemu moja mwanamke aliwahi kutoa baraka za aina hiyo.Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndie alikuwa / anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia / kuwapa mnadhani ni zake.
Nani kama mama ni misemo ya watoto / vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda
You were lucky your mother hakukufanya umchukie baba yako, wengi huwa wanadanganya watoto baba yako alitutelekeza, baba yako hakupendi, baba yako mchawi, n.k.Wanawake single mother ndo wameanzisha huo msemo.
Personally I was been raised with single parent but my father was there for me .
Mama anakuwa na BOND na watoto wake Ila baba anakuwa na Affection na watoto wake.
Ila katika wale baba wachache ambao wanakimbia majukumu na mama wachache ambao hushindwa kutimiza majukumu yao ndo chanzo cha kuwepo misemo ya kitoto Kama hiyo.
You were lucky your mother hakukufanya umchukie baba yako, wengi huwa wanadanganya watoto baba yako alitutelekeza, baba yako hakupendi, baba yako mwizi, n.k
tuwe makini na kizazi cha sasa tu maanaTrue , maisha yana mambo mengi Sana sisi mama yetu na baba both they bealive in collaboration and not competition
Tulikuwa tukimaliza darasa la Saba tunakuja DSM kwa mzee na tukimaliza form four we back kwa mama
After my daddy and my momy being separated mama ,she was got a kid from other side but my dady he had never get any kid
Lakini yule mtoto anaishi kwa nyumbani alipojenga mzee na baba yake ni Kama hana habari za mtoto wake .
So nachosema chuki kutengana ni kitu kibaya mm I'm living with my dady DSM na kaka mkubwa ambaye amekaa Sana na mzee wetu yeye yupo mkoani ndo kapata kazi nyumbani kabisa anaishi na mama
So tunashirikiana vizuri kwahiyo I agree with you. CHUKI haifai na ukimpandikiza chuki fahamu utakuwa umeharibu maisha yake 70%
GOD is LOVE
I finally understand
For a women it ain't easy tryin to rise a man
You always was committed
A poor single mother on welfare, tell me how you did it.
There is no way I can pay you back
But my plan is to show you that I understand
You are appreciated.
Kwa kweli baba zetu wabarikiwe na kuongezewa zaidi.Wababa jamani Mungu awabariki wanarisk mambo mengi wanaishi kwa mateso ili familia zap zile.Mwanaume huyo huyo alishe alishe familia,alipe ada,aangalie ndugu zake/wazazi wake bado na upande wa mke wake na hawalalamiki.Mungu awabariki sana