Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kakalambe tu, if I were a man mie mnara usingekamata networkMmhh! Kamekaa poa kukalamba
Akisema vote for d, anakuwa malikia, akisema otherwise anakuwa ma.la..., to me she is always a stupid as...!
Wananiita Suguuu!
Wananiita Suguuu!
Wanaaanita Suguuu!
Suguuu! Suguuu! Suguuu!
Sugu ni yule yule kipaji bado kipo sema kachagua upande wa siasa zaidi. Pia ata hivyo kila zama na vitabu vyake, Sugu alikuwa na wakati wake, akaja Nature na sasa hivi game ni ya Diamond.
Watakuja wengi, wataimba kila kitu ila hakuna atayeweza kupora heshima na legacy ya Sugu kwenye muziki wa kizazi kipya.
Kipindi Sugu anapigwa redioni mchana kwenye DJ Show, Diamond anatoka shule na kidumu mkononi na fagio la chelewa..... ama kweli siku hazigandi!
Leo dogo ndio wakati wake na Sugu yupo mjengoni anawakilisha wana Mbeya kwa viwango vile vile.
Speech yake ya leo bungeni akiitengenezea Songi litahiti vibaya
Ha ha ha si dada ako huyo, hapo kaapply make up na anatoa hints za kujifunza kupaka hizo make up
chezeiya kujipamba, jini si jini....
Sugu ni yule yule kipaji bado kipo sema kachagua upande wa siasa zaidi. Pia ata hivyo kila zama na vitabu vyake, Sugu alikuwa na wakati wake, akaja Nature na sasa hivi game ni ya Diamond.
Watakuja wengi, wataimba kila kitu ila hakuna atayeweza kupora heshima na legacy ya Sugu kwenye muziki wa kizazi kipya.
Kipindi Sugu anapigwa redioni mchana kwenye DJ Show, Diamond anatoka shule na kidumu mkononi na fagio la chelewa..... ama kweli siku hazigandi!
Leo dogo ndio wakati wake na Sugu yupo mjengoni anawakilisha wana Mbeya kwa viwango vile vile.
Kama haka kapare kenye make up kama jini, sijui kanamtaka....
sitokaa nimuone best huyu mange,binafsi mimi namuona ni zaidi ya mpuuzi,namdharau sana.
Katanijia na gazeti page 3Teh teh, ngoja aje
Wakati Sugu (2proud) yupo kwenye game nadhani hata diamond alikua haja anza shule coz Mond ana 25 now bila shaka kazaliwa 1990,na shule probably kaanza na 7-8yrs(97-98) hapo tayar Sugu kasha hit saanaaa na anaenda enda ukingoni na wakina J kwa mbaaalii wanaanza kuibukia.
daah zamani zile ilikua raha sana.
Akisema vote for d, anakuwa malikia, akisema otherwise anakuwa ma.la..., to me she is always a stupid as...!
alianza mdogo mdogo kununua vifaa,akaanza kujipaka na kufundisha watuHaaa!
Wewe mimi yule hajawahi kuwa dadangu?
Wananichamba Uturn kila nikimdiss humu.So hapo ndo kapaka make up? Mbona anatisha sana? Anafaa kuwa nsyuka huyu...
Hakika zama za kina Sugu haziwezi kufikiwa hata ukiangalia aina ya nyimbo beat na mixing zilizo kuwa zinafanyika ni hatari sana!
Wanakuita Sugu nani,wanakuita sugu nani,wanakuita Sugu sugu sugu suguuuuuhhhh
Mkuu kama unafatilia vyema muziki utakubaliana nami kuwa Zamani kulikuwa kuna fanyika mixing hatari sana kwa mfano wimbo kama huu wa Sugu au wimbo wa mamdojo na domo kaya ule wa usawa na ukweli na uwazi! Kuna wimbo kama kariakoo wa Dully...na kuna wimbo wa weekend wa ngwair...ni hatari sana ..sijaona kama Mj na P funk!
Hadi leo naamini hakuna sehemu kwa sasa wimbo unaweza kufanyiwa mixing nzuri zaidi ya kwa Mj na P funk...!
Mfano nikiusikiliza wimbo wa Nana wa Diamond hile beat naisikia kabika imekosa mixing!
Wananiita Suguuu!
Wananiita Suguuu!
Wanaaanita Suguuu!
Suguuu! Suguuu! Suguuu!
Kama haka kapare kenye make up kama jini, sijui kanamtaka....