Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sugu alikuwa vizuri sana naamini kabisa siasa ina ua vipaji kabisa hata Jay anaweza kuacha mziki kabisa!
Kila kitu na muda wake sugu anaeleke umri wa makamo unataka aendelee kushindana na akina kala Jeremiah watoto wa juzi .
Aliona mbali akaamua kuwa mwanasiasa mwanaharakati sababu yeye ni mwanaharaki tangu mwanzo.
Jay naye kashtuka ndo maana kaunga tella
Hata afande pia si unamcheki move zake saivi.
Kila zama na kitabu chake.