Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

Sugu alikuwa vizuri sana naamini kabisa siasa ina ua vipaji kabisa hata Jay anaweza kuacha mziki kabisa!

Kila kitu na muda wake sugu anaeleke umri wa makamo unataka aendelee kushindana na akina kala Jeremiah watoto wa juzi .

Aliona mbali akaamua kuwa mwanasiasa mwanaharakati sababu yeye ni mwanaharaki tangu mwanzo.

Jay naye kashtuka ndo maana kaunga tella

Hata afande pia si unamcheki move zake saivi.

Kila zama na kitabu chake.
 
Akisema vote for d, anakuwa malikia, akisema otherwise anakuwa ma.la..., to me she is always a stupid as...!

Unachanganya madesa hapa

Hii mada ya muheshimiwa sugu sio dai .

Tukutane kwa dai almasi.Halafu mchango umetoa king kafukuzwa au haujapata taarifa.
 
Kipindi hicho watu wanafanya muziki kuonyesha uwezo kuanzia wasanii mpaka maprodyuza. Sasa hivi watu wanafanyia muziki pesa mbele uwezo nyuma.

PFunk na Jay walikuwa wanakataa kumrekodi msanii asiye na uwezo ata akiwa na pesa mkononi... Leo ukiwa na laki mbili unatoa wimbo ata kama unakohoa wimbo mzima na ukikata pesa una hit vizuri tu.

Muziki umetokea mbali sana.

ha ha haa siku hizi hata Nuhu mziwanda nae ana hit daah dharau kubwa sana hii kwa muziki ulio asisiwa na wakina sugu!
 
Hapo namwongezea Barozi,acha kabisa.

Balozi nimemsi sana na songi lake Fulani hivi amazing lina chorus hii hapa

" wengi walikuepo sasahivi wako wapi wako wapi.....balozi bado nipo ninatesa kwenye chati kwenye chati ....nashika ileile ....ile moja nambaaa.....natambaa......."

Jamaa nimemkumbuka sana japo nilikua mdogo kipindi hicho but nilikua nafutilia vizuri sana.
 
Dah,
Hichi kichwa kweli hatari.
Nakumbuka vinega walikua wana tamasha lao pale chuo cha simu kijitonyama nyuma ya Chuo cha Ustawi. Dah jamaa alichana nyimbo zake yeye mwenyewe bila back-up ya mtu. Na alichana kuanzia verses mpaka korasi zote kachana mwenyewe na hakukwama kwama sauti wala kuishiwa pumzi.
 
Back
Top Bottom