Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Acha kumbwela basi ..hivi kwa Akili yako hiyo unayojidai ya kijanja mtoto anayenyonya au wachekechea anaelewa nini basi? ...Sitaki kubishana na wewe maana tangu muda nakujua wewe ni MTU wa kariba gani na sijakujua Leo .so tusiende mbali sana kama unadhani Mimi ni mdogo saaaana!!! Ibebe hivohivo kwenye akili yako ...maana ndivyo hapo uwezo wako wa kufikiri ulipofika kikomo.
Ova and out.
Sasa unataka kubisha kitu ulichokiandika mwenyewe?
Balozi ametoa niko kwenye chart miaka ya 2000 na kitu na wewe ulikuwa Primary sasa unataka kuleta ubishi gani? Hizi ndio dalili za utoto tulia upewe historia hapa haya mambo hata ugoogle miaka 200 huwezi kuyajuwa wala kuyapata tulia tukupe habari za muziki ulipotoka.
Unamjuwa Kim & boys na Yo rap bonanza lake? Unamjuwa Check bob maarifa? (CBM) ulikuwepo wakati seven floor kila jumapili? Unaijuwa pool side? Tulia tukuflash back dogo.