Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    6.3 KB · Views: 1,002
  • image.jpg
    image.jpg
    6.3 KB · Views: 997
Joseph.O.Mbilinyi
The living Legend,duh vijana wengi wamejiajiri kwenye music industry bila kujua harakati zake ndio msingi wa huu muziki maana amewashawishi baba na mama zao kuamini kua muziki ni ajira na sasa anawapa imani kua inawezekana kufikia hata malengo ambayo zamani ilikua ngumu hata kuyaota angalia tu mbio za wanamuziki kwenda bungeni.
Stay blessed OG.
 
Sugu ni yule yule kipaji bado kipo sema kachagua upande wa siasa zaidi. Pia ata hivyo kila zama na vitabu vyake, Sugu alikuwa na wakati wake, akaja Nature na sasa hivi game ni ya Diamond.

Watakuja wengi, wataimba kila kitu ila hakuna atayeweza kupora heshima na legacy ya Sugu kwenye muziki wa kizazi kipya.

Kipindi Sugu anapigwa redioni mchana kwenye DJ Show, Diamond anatoka shule na kidumu mkononi na fagio la chelewa..... ama kweli siku hazigandi!

Leo dogo ndio wakati wake na Sugu yupo mjengoni anawakilisha wana Mbeya kwa viwango vile vile.

Wakati Sugu (2proud) yupo kwenye game nadhani hata diamond alikua haja anza shule coz Mond ana 25 now bila shaka kazaliwa 1990,na shule probably kaanza na 7-8yrs(97-98) hapo tayar Sugu kasha hit saanaaa na anaenda enda ukingoni na wakina J kwa mbaaalii wanaanza kuibukia.

daah zamani zile ilikua raha sana.
 
Mkuu kama unafatilia vyema muziki utakubaliana nami kuwa Zamani kulikuwa kuna fanyika mixing hatari sana kwa mfano wimbo kama huu wa Sugu au wimbo wa mamdojo na domo kaya ule wa usawa na ukweli na uwazi! Kuna wimbo kama kariakoo wa Dully...na kuna wimbo wa weekend wa ngwair...ni hatari sana ..sijaona kama Mj na P funk!

Hadi leo naamini hakuna sehemu kwa sasa wimbo unaweza kufanyiwa mixing nzuri zaidi ya kwa Mj na P funk...!

Mfano nikiusikiliza wimbo wa Nana wa Diamond hile beat naisikia kabika imekosa mixing!
 
Ha ha ha si dada ako huyo, hapo kaapply make up na anatoa hints za kujifunza kupaka hizo make up
chezeiya kujipamba, jini si jini....

Haaa!
Wewe mimi yule hajawahi kuwa dadangu?
Wananichamba Uturn kila nikimdiss humu.So hapo ndo kapaka make up? Mbona anatisha sana? Anafaa kuwa nsyuka huyu...
 
Sugu ni yule yule kipaji bado kipo sema kachagua upande wa siasa zaidi. Pia ata hivyo kila zama na vitabu vyake, Sugu alikuwa na wakati wake, akaja Nature na sasa hivi game ni ya Diamond.

Watakuja wengi, wataimba kila kitu ila hakuna atayeweza kupora heshima na legacy ya Sugu kwenye muziki wa kizazi kipya.

Kipindi Sugu anapigwa redioni mchana kwenye DJ Show, Diamond anatoka shule na kidumu mkononi na fagio la chelewa..... ama kweli siku hazigandi!

Leo dogo ndio wakati wake na Sugu yupo mjengoni anawakilisha wana Mbeya kwa viwango vile vile.

Hakika zama za kina Sugu haziwezi kufikiwa hata ukiangalia aina ya nyimbo beat na mixing zilizo kuwa zinafanyika ni hatari sana!

Wanakuita Sugu nani,wanakuita sugu nani,wanakuita Sugu sugu sugu suguuuuuhhhh
 
Wakati Sugu (2proud) yupo kwenye game nadhani hata diamond alikua haja anza shule coz Mond ana 25 now bila shaka kazaliwa 1990,na shule probably kaanza na 7-8yrs(97-98) hapo tayar Sugu kasha hit saanaaa na anaenda enda ukingoni na wakina J kwa mbaaalii wanaanza kuibukia.

daah zamani zile ilikua raha sana.

Mkuu hisabati zako naona zina make sense, huu muziki watu wameutoa mbali sana basi tu vijana wanajisahau wanashindwa kuheshimu kaka zao.

Sugu anapita na mkoko Kino watu Sugu anauza madude. Leo anatokea mbulula mmoja anasema mchizi ni mjinga kweli umri sio busara.... Eti bunge halifai sababu kuna Sugu ilihali huyo anaetukana babake amekuwa mbunge na wazir mpk mkuu na hakuwahi kufanya chochote jimbo ni mpk wananchi waamkataa... Bora ya Sugu ajafanya kikubwa ila amefanya ya kutosha na kuridhisha as mwakilishi.
 
Haaa!
Wewe mimi yule hajawahi kuwa dadangu?
Wananichamba Uturn kila nikimdiss humu.So hapo ndo kapaka make up? Mbona anatisha sana? Anafaa kuwa nsyuka huyu...
alianza mdogo mdogo kununua vifaa,akaanza kujipaka na kufundisha watu
na hapo ndo ame master kuapply make up....ukute kaweka na lile wigi linalokaribia kufunika pua sasa mmh
yani hayo macho anatisha kwakweli
 
Hakika zama za kina Sugu haziwezi kufikiwa hata ukiangalia aina ya nyimbo beat na mixing zilizo kuwa zinafanyika ni hatari sana!

Wanakuita Sugu nani,wanakuita sugu nani,wanakuita Sugu sugu sugu suguuuuuhhhh

Kipindi hicho watu wanafanya muziki kuonyesha uwezo kuanzia wasanii mpaka maprodyuza. Sasa hivi watu wanafanyia muziki pesa mbele uwezo nyuma.

PFunk na Jay walikuwa wanakataa kumrekodi msanii asiye na uwezo ata akiwa na pesa mkononi... Leo ukiwa na laki mbili unatoa wimbo ata kama unakohoa wimbo mzima na ukikata pesa una hit vizuri tu.

Muziki umetokea mbali sana.
 
Mkuu kama unafatilia vyema muziki utakubaliana nami kuwa Zamani kulikuwa kuna fanyika mixing hatari sana kwa mfano wimbo kama huu wa Sugu au wimbo wa mamdojo na domo kaya ule wa usawa na ukweli na uwazi! Kuna wimbo kama kariakoo wa Dully...na kuna wimbo wa weekend wa ngwair...ni hatari sana ..sijaona kama Mj na P funk!

Hadi leo naamini hakuna sehemu kwa sasa wimbo unaweza kufanyiwa mixing nzuri zaidi ya kwa Mj na P funk...!

Mfano nikiusikiliza wimbo wa Nana wa Diamond hile beat naisikia kabika imekosa mixing!

Hapo namwongezea Barozi,acha kabisa.
 
Back
Top Bottom