Nani kama Sugu?

"..sisi wanaume ni washenziii...demu tukiishatembea nawe tunakuita Malay.a...ana miaka, miaka..chini ya kumi na nane..." nilikua naikubali hio mistari ingawa nahisi hapo nimekosea kuipanga kama alivyoimba yeye..

Sisi wanaume ni washenzi
wanakuita malaya sababu unatoa penzi
vipi dada zao nyumbani
wanawaita majina gani?
 

Hahahahaha haya tufanye umeshinda.
 
yale hayakuwa mapeeeeenziiii
yale hayakuwa mapeeeeenziiii
Ona nilikupa penzi lakini nashangaa ukashindwa kulienziiiii
 

Mzee hii kitu ilikuwa balaa,dj jd kwenye 101.4fm na baadaye E africa jinsi alivyokuwa akiipiga na kumix kama dakika 10 hivi ilikuwa uhondo sana.
 
Mwanaume yeyote anayeingia kwenye blog ya mgonjwa wa akili kama Mange ni choko tu wala hakuna tafsiri mbadala.
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda
 
Jamaa ni wa kipekee, amethubutu kufanya mambo kadhaa ambayo yamewafumbua macho wengine, ni true legend ingawa nilimshusha vyeo kidogo aliposanda kuendeleza harakati ya Antivirus kisa kapewa hela
 

Kwa iyo ulivojua kama alikua mlinzi imekusaidia nini na kumpunguzia nini Sugu?
 

Wewe unayesema Sugu ni firauni bila shaka umethibitisha kwa kumpanulia hongera sana, hivi mtu anayeishi katika misingi ya haki ndio sifa yake ni mwanachadema? Kama ndivyo count me in now.

Kama ulikuwa humjui Sugu basi huyo ndio Sugu from street to parliament from zero to hero akili ukwaju kama zako this is big for you.
 

Wew jamaa japo umeenda shule lakini haijakusaidia chochote! mwanaume mwenye akili zake hawezi kuogea utumbo na upuuzi kama uliouandika hapa na wasiwasi sana na wewe! mwanaume kushinda kwenye blog ya mange unasoma mipasho halafu unajiona mjanja sirious?
 
Kwa iyo ulivojua kama alikua mlinzi imekusaidia nini na kumpunguzia nini Sugu?
Hainipunguzii kitu
na wala sikupenda kubishana na hawa wajinga
wao ni kusifia kila kitu wakiguswa pabaya ni kuporomosha matusi
jana hizi mada zilifungwa lakini wao wanatetea uongo mtupu tena wa upande mmoja
mm nimeQuote lakini wao wanaporomosha matusi
ndio maana sibishani na chadema
waambie wameshinda
maana nikiwajibu nitakula BAN
 
mm sio JAMBAZI
unajua majina mnayojipa yanawaonesha jinsi mlivyozaliwa
hata ww ukipewa nafasi za juu km hizo utaweza kweli kupigana Bungeni au kushinda Jolly Club
ndio maana KALIBA zenu zinalingana HAYA MMESHINDA jamani
mm acheni niperuzi kwa MANGE
TATIZO ni nini?
 

Kiufupi wee jamaa akili huna!
 

Mwenye ile video ya le mutuz akiomba ubunge wa Afrika mashariki aitupie lile ---- hata ngeli hanijui sa sijui lilikua ulaya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…