blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Ha ha .! Nimecheka., 'kitoko'"'
imefungwa imekua mlango...kitoko wewe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imefungwa imekua mlango...kitoko wewe..
"..sisi wanaume ni washenziii...demu tukiishatembea nawe tunakuita Malay.a...ana miaka, miaka..chini ya kumi na nane..." nilikua naikubali hio mistari ingawa nahisi hapo nimekosea kuipanga kama alivyoimba yeye..
POOR LOGIC na wewe
MADA ilishafungwa
USINITAFUTIE BAN
waheed wewe
Sasa unataka kubisha kitu ulichokiandika mwenyewe?
Balozi ametoa niko kwenye chart miaka ya 2000 na kitu na wewe ulikuwa Primary sasa unataka kuleta ubishi gani? Hizi ndio dalili za utoto tulia upewe historia hapa haya mambo hata ugoogle miaka 200 huwezi kuyajuwa wala kuyapata tulia tukupe habari za muziki ulipotoka.
Unamjuwa Kim & boys na Yo rap bonanza lake? Unamjuwa Check bob maarifa? (CBM) ulikuwepo wakati seven floor kila jumapili? Unaijuwa pool side? Tulia tukuflash back dogo.
Hahahahaha haya tufanye umeshinda.
Balozi nimemsi sana na songi lake Fulani hivi amazing lina chorus hii hapa
" wengi walikuepo sasahivi wako wapi wako wapi.....balozi bado nipo ninatesa kwenye chati kwenye chati ....nashika ileile ....ile moja nambaaa.....natambaa......."
Jamaa nimemkumbuka sana japo nilikua mdogo kipindi hicho but nilikua nafutilia vizuri sana.
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?Mwanaume yeyote anayeingia kwenye blog ya mgonjwa wa akili kama Mange ni choko tu wala hakuna tafsiri mbadala.
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda
Hainipunguzii kituKwa iyo ulivojua kama alikua mlinzi imekusaidia nini na kumpunguzia nini Sugu?
Kwa iyo ulivojua kama alikua mlinzi imekusaidia nini na kumpunguzia nini Sugu?
mm sio JAMBAZIWew jamaa japo umeenda shule lakini haijakusaidia chochote! mwanaume mwenye akili zake hawezi kuogea utumbo na upuuzi kama uliouandika hapa na wasiwasi sana na wewe! mwanaume kushinda kwenye blog ya mange unasoma mipasho halafu unajiona mjanja sirious?
Hainipunguzii kitu
na wala sikupenda kubishana na hawa wajinga
wao ni kusifia kila kitu wakiguswa pabaya ni kuporomosha matusi
jana hizi mada zilifungwa lakini wao wanatetea uongo mtupu tena wa upande mmoja
mm nimeQuote lakini wao wanaporomosha matusi
ndio maana sibishani na chadema
waambie wameshinda
maana nikiwajibu nitakula BAN
sijawahi sikia JF kuna creditKuna vitu vingne vinanikasirisha sana jamaa kaandika utumbo akidhani anapata backup ya wanawake jamaa kichwani bongus
safi sana lkn siwezi kuwa Mlinzi kuwapinga JamabaziKiufupi wee jamaa akili huna!
Kamtukana sana Sugu leo kwa ajili ya issue yake na Faiza. Baadae akajistukia akaanza kuomba msamaha wa kidizain huku linajshtukia.
Mtu aliyeshindwa maisha ya ulaya akaja kushindwa na hapa bongo anaonekana kituko tu mbele ya watu kama Sugu wenye records na legacy katika jamii.
Le mutuz wakati unaangaika kubishana na kutukanana na kina dogimasta na matikibokoyao, mwenzako anaangaika na kero za wana Mbeya. Jipange mzee!
Blogger, mange kimambi U-turn Blog | u turn blog
anamdiss sugu utadhani kamuulia shangazi ake