Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

James Dandu alikuwa anaishi Sweden, siyo Marekani na yeye ndio mtoa wazo wa Tuzo za kili nashangaa mpaka leo wanashindwa hata kumuenzi na Dandu award hii nchi nyoko majitu mabinafsi sana.

Kuhusu swali lako la nani kaanza Bongo fleva hujaliweka vizuri, maana kama ni kurap kaanza Salehe el Jably na na kama ni kikundi cha kurap kilichoanza ni Kwanza Unity a.k.a KU Crew. Na kama ni Bongo Fleva kwa maana halisi ni Sugu.

Mkuu kwanza asante kwa kunikumbusha kwamba jamaa alikiwa akiishi Sweden,

Kiukweli nchi hii haithamini uasisi wa vitu mbalimbali. Hii ndiomaana mpaka leo Tanzania tunashindwa kutengeneza hata soksi. Hebu angalia wazo la Maralia lililoasisiwa na Sugu akitokea USA kipindi hicho likaporwa na kile kijamaa kishenzi cha Clouds fm na kikapata mnuso wa kutosha kwa mawazo ya Sugu. Mpaka leo hii mwenye wazo lile hajanufaika lolote iwe kwa kutambuliwa au kunufaika kipesa. Hivi mtu wa namna hii anaweza kupata moyo wa kuumiza kichwa kutoa mawazo mengine mazuri kwa nchi yake??? Nasikitika sanaq kunamijitu inamdharau Sugu hapa.. laiti wangeijua thamani ya kichwa hiki ndani ya hii nchi wangeziba mibakuri yao..!!

Nikija kwenye Mziki mkuu nadhani kunatofauti kati ya mziki wa Dola Soul, Sugu, Prof J (Hiphop) na mziki Inspector Haroun, Mandojo & Domokaya (Bongofleva) So kibongobongo nikisema Bongofleva nikiijumlisha na Hip-hop, nakua kama nakosea. Lakini nikienda nje ya nchi, Bongofleva inafahamika ni mziki wowote wa Tanzania ulioktk maudhui hayo (ukijumuisha na hiphop) Ni kama jina Bongo, kwazamani ukiwa hapa nchini ukalitamka hili, unamaanisha Dareslaam. Lakini ukiwa nje ya nchi unamaanisha Tanzania..!!!

So maana yangu ilikuwa hapo, kwani inafahamika wazi mziki wa kurap ulipoanza hapa nchini ilikuwa ni hiphop pekee. Baada ya mziki huo kukua ndipo zikaanza R&B na baadaye wakaanza hawa kina Inspector Haroun kuimbaimba. Kuimba kwa Inspector na kwa Sugu ni tofauti, So nilitaka kujua ni nani aliyeanzisha hii Style ya kina Inspector ambayo tunaona mpaka sasa ndiyo iliyoshika soko na kuwatoa kina Kiba Dimpoz, Diamond, kiasi kina Madee wakaimba Hiphop haiuzi..!!!

Wish nimeeleweka mkuu Matola. gwijimimi matumbo Deo carleone for more detail.!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hata kubrowse hapa sasa hivi nawabore tu washkaji nilionao.
Ni muda wa ku-make bottles empty buddy. Cheers.

Nimesoma somewhere kuwa utakuwa na huyu gwiji sehemu.. please mpe Hi za kutosha,ikiwezekana mpe simu yako apitie uzi huu angalau kuanzia page ya sita. Then mwambie karibu Jf awe member kabisa.

BACK TANGANYIKA
 
Hayakuwa mapenzi ni the best hip hop love song of all time kwa hapa tz . Kwa mujibu wa mimi.

kwa mujibu wa walio wengi mzazi, ile ngoma hata ukimsikilizisha dogo aliyezaliwa juzi ataielewa, halafu kimtaamtaa inasemekana ni story ya kweli
 
Mkuu kwanza asante kwa kunikumbusha kwamba jamaa alikiwa akiishi Sweden,

Kiukweli nchi hii haithamini uasisi wa vitu mbalimbali. Hii ndiomaana mpaka leo Tanzania tunashindwa kutengeneza hata soksi. Hebu angalia wazo la Maralia lililoasisiwa na Sugu akitokea USA kipindi hicho likaporwa na kile kijamaa kishenzi cha Clouds fm na kikapata mnuso wa kutosha kwa mawazo ya Sugu. Mpaka leo hii mwenye wazo lile hajanufaika lolote iwe kwa kutambuliwa au kunufaika kipesa. Hivi mtu wa namna hii anaweza kupata moyo wa kuumiza kichwa kutoa mawazo mengine mazuri kwa nchi yake??? Nasikitika sanaq kunamijitu inamdharau Sugu hapa.. laiti wangeijua thamani ya kichwa hiki ndani ya hii nchi wangeziba mibakuri yao..!!

Nikija kwenye Mziki mkuu nadhani kunatofauti kati ya mziki wa Dola Soul, Sugu, Prof J (Hiphop) na mziki Inspector Haroun, Mandojo & Domokaya (Bongofleva) So kibongobongo nikisema Bongofleva nikiijumlisha na Hip-hop, nakua kama nakosea. Lakini nikienda nje ya nchi, Bongofleva inafahamika ni mziki wowote wa Tanzania ulioktk maudhui hayo (ukijumuisha na hiphop) Ni kama jina Bongo, kwazamani ukiwa hapa nchini ukalitamka hili, unamaanisha Dareslaam. Lakini ukiwa nje ya nchi unamaanisha Tanzania..!!!

So maana yangu ilikuwa hapo, kwani inafahamika wazi mziki wa kurap ulipoanza hapa nchini ilikuwa ni hiphop pekee. Baada ya mziki huo kukua ndipo zikaanza R&B na baadaye wakaanza hawa kina Inspector Haroun kuimbaimba. Kuimba kwa Inspector na kwa Sugu ni tofauti, So nilitaka kujua ni nani aliyeanzisha hii Style ya kina Inspector ambayo tunaona mpaka sasa ndiyo iliyoshika soko na kuwatoa kina Kiba Dimpoz, Diamond, kiasi kina Madee wakaimba Hiphop haiuzi..!!!

Wish nimeeleweka mkuu Matola. gwijimimi matumbo Deo carleone for more detail.!!

BACK TANGANYIKA

Mkuu ingawa niko viti virefu saa hizi lakini kwa harakaharaka nadhani Mr Paul ndio alianza Bongo Fleva RnB, kama unalikumbuka lile song aliloimba linaitwa buzi Ft Inspector Horoun ilikuwa ni balaa.

Talent ya Inspector niliigunduwa siku ile studio aliingiza vocal kwa kubuni kichwani muda huohuo bila ya kufanyia mazoezi verse yake.

Ilikuwa ni Tamasha la summer (Fiesta) lifanyike siku chache kabla akafa makamu wa Rais Dr Omar Juma serikali ikasimamisha burudani zote kwa maombolezo ndio Mr Paul na Inspector waliingia na studio na kurekodi ile nyimbo ambayo mpaka kesho ukiisikiliza utavigunduwa vipaji halisi.

Insector Haroun hakutunga verse yake wala hakuifanyia mazoezi aliingia mzimamzima na kuingiza sauti na producer akaikubali.
 
Last edited by a moderator:
kwa mujibu wa walio wengi mzazi, ile ngoma hata ukimsikilizisha dogo aliyezaliwa juzi ataielewa, halafu kimtaamtaa inasemekana ni story ya kweli

Sugu Baba yake alikufa akiwa bado mdogo amelelewa na mama yake, ni moja ya sababu ya kuanza life la mtaani mapema na kama kawaida hard work pays.

Anayemchukia mtu kama Sugu anajitafutia laana ya bure tu kwa Mungu, mshkaji amepigana kiume mpaka leo kufikia hapo alipo.

Kuna mafala wasiojuwa ni kwa nini Sugu ametokwa na machozi wakati anamjibu yule malaya wa viti maalum.

Ndio maana kwenye verse yake ya waniita Sugu anasema "nayayajuwa matatizo zaidi yako na hata kama ni msoto nimesota zaidi yako kwahiyo usinione brazameni kwakuwa niko na mkoko......
 
Hahahahahah mkuu tafadhari sana taratibu,

Bado hatujaeleweshana mambo kadha wa kadha kwenye uzi huu, punguza munkari plz, hapa namuona yule mshika nondo akikipapasa kitufe cha Segerea huku akiwa na maruweruwe ya usingizi. Asije akakupeleka huko tukashondwa kueleweshana baadhi ya mambo mkuu..!!

BACK TANGANYIKA
 
Sugu Baba yake alikufa akiwa bado mdogo amelelewa na mama yake, ni moja ya sababu ya kuanza life la mtaani mapema na kama kawaida hard work pays.

Anayemchukia mtu kama Sugu anajitafutia laana ya bure tu kwa Mungu, mshkaji amepigana kiume mpaka leo kufikia hapo alipo.

Kuna mafala wasiojuwa ni kwa nini Sugu ametokwa na machozi wakati anamjibu yule malaya wa viti maalum.

Ndio maana kwenye verse yake ya waniita Sugu anasema "nayayajuwa matatizo zaidi yako na hata kama ni msoto nimesota zaidi yako kwahiyo usinione brazameni kwakuwa niko na mkoko......

hii dunia ya ajabu sana siku hizi...watu wanatetea ujinga ujinga...
 
bila kuwasahau 'gwm - gangstaz with matatizo' walimrudisha sugu kwenye airwaves ile mbaya na ile ngoma yao ya 'yamenikuta'....wapi 'D-chief' na "KR"
 
hii dunia ya ajabu sana siku hizi...watu wanatetea ujinga ujinga...

Dunia ni ya ajabu sana kuacommodate wajingawajinga kama wewe.

Mumshukuru sana Nyerere wajingawajinga kama wewe saa hizi ungekuwa huko umbwindeni, wewe huna unalolijuwa katika maisha kuna watu wamezaliwa kwenye silver spoon family lakini wamefeli maisha, give a credit kwa kachaa Sugu. Na kwa taarifa yako mwenzio hapendi hata jina la muheshimiwa yeye anataka aitwe Sugu tu.
 
Mi ni mmoja wa watu wanao muelewa sugu vizuri mno
Mungu azidi kumuweka duniani ili aendelee kutupa hali ya uvumilivu vijana wa tanganyika
 
Kuna watu wamekuja kuchafua uzi, sio kila sehemu ni lazima tumalizie frustrations zetu za kimaisha. Tuwe positive sometimes kuaprishieti watu wengine ata kama atuwapendi.

Hapa nipo njiani natoka msibani kumsindikiza marehemu mzee mlingwa, babake na Mx. Nimejifunza mengi kuhusu maisha, maisha haya tunapita tu tutumie uhai wetu vizuri. Rip mzee mlingwa.

Umechelewa kulijuwa hili, inaonekana bado hujapata misukosuko ya kufiwa na uwapendao, mimi kwa mara ya kwanza tulivyompoteza first born wetu nayajuwa haya mambo vyema ndio kwa mara ya kwanza nilikubali kuingia monchwari na kushuhudia kaka yangu akifanyiwa usafi na dressing, ilikuwa mwaka 1998, leo mimi ndio kaka mkubwa nayajuwa vyema haya.

We only live once, tenda mema weka hazina yako mbingu baasi.
 
We jamaa kweli ni mshamba kinoma,sugu katoa kitabu cha historia yake about 3yrs ago na kaeleza kila kila kitu halafu leo unasema bila mange usingejua km sugu kapitia life gumu,ni mabwege tu kama wewe ndio mnao muona mange bab kubwa kumbe na yeye poyoyo tu!

Achana naye huyo ndio chanzo chao cha habari mwanaume mwenye akili timamu awezi kupata habari Kwa huyo lazima atakuwa anamatatizo
 
Sugu ni sugu kweli. .respect kwake. ..hanaga zali tu na watoto wa kike mnyamwezi wangu siyo leo wayback ndo maana mara nyingi vicheche anawafanyaga permanent. ..type za kazi zake ni kama faiza
 
Huyu alishiriki kwenye piga makofi ya Prof Jay. Piga makofi tafadhali.!

Mkuu Idawa,

Kwenye hiyo ngoma ya J kilikuwa na jamaa mmoja hivi kachana kwenye verse ya pili after Prof J anaitwa Simple X kashuka namna hii..

Piga makofi piga makofi, kamawewe si mkorofi
kwenye fan hauna uzushi, tunataka watu wa jeshi. Tunajirusha kimanjonjo ukileta fujo unatupwa selo. Situka uendako, utakuwa mwaminifu, usije ukapata kichapo. Hii ni fani usilete utani, Old School imelala kichwani. Nawasabahi Kimala maskani na wote waliokuwa mtoni. Ni saa za kazi we panda Jahazi. kama msanii milango iko wazi. HBC walifunga kazi, J sasa kamwaga radhiiii. Kwenye machozi jasho na damu single ni bongo Dareslaam. Wakubwa na watoto wameipokea kwa nidhamu.. Ni simple x mzee wa ngano hakuna noma mambo mswanooooooo..!!

Mkuu yaani hiyo ngoma imetulia we acha kabisa, maishairi yote yako kichwani. Ni moja ya wimbo ninaoukubali sana toka Pj kipaji halisi..!! Hakika jasho na Damu ni funzo tosha..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda

weweeee,Sugu aliishaandika kitabu kuhusu historia yake na vyooote hvyo,ulinzi,disco,kukaa kiburugwa nk aliandika humo tafuta kitabu chake usome.
 
kwa mujibu wa walio wengi mzazi, ile ngoma hata ukimsikilizisha dogo aliyezaliwa juzi ataielewa, halafu kimtaamtaa inasemekana ni story ya kweli

Yeah ni true story, demu babake alikuwa waziri kitambo hicho. Na kwenye bunge la katiba wakakutana na Mh.
 
Umechelewa kulijuwa hili, inaonekana bado hujapata misukosuko ya kufiwa na uwapendao, mimi kwa mara ya kwanza tulivyompoteza first born wetu nayajuwa haya mambo vyema ndio kwa mara ya kwanza nilikubali kuingia monchwari na kushuhudia kaka yangu akifanyiwa usafi na dressing, ilikuwa mwaka 1998, leo mimi ndio kaka mkubwa nayajuwa vyema haya.

We only live once, tenda mema weka hazina yako mbingu baasi.

Kweli kabisa we only live once.
 
Back
Top Bottom