Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda

Ndugu nenda kwenye tovuti ya bunge halafu tafuta cv ya sugu,hayo yote yapol
 
hahahahahahaha....naona wabishi wa town kitambo wanaongea hapa!...wale "wenzangu na mimi" wa hili jukwaa,kiiiiiiiiimyaaaaaaaaa!!
 
Nimekupuuza.
images
images
 
Ana wivu mpaka shetani anamwogopa.
Afu anajiona anaogopwa dunia nzima!
Like her opinion the Law! Pathetic clown.

Ni loser tu yule muuza Dildo..

anateswa na historia ya Maisha yake, Kilichomsibu mzee wake (Pumzika mahali unapostahili) ndicho kimempa maisha ya stress tupu. amekuwa na kimbelembele cha ajabu.
 
Le Mutuz kaa mbali na hii namba.....

Tena Lemutuz ukae mbali sana, Sugu alianza kurap Kabla ya FM na bado alijulikana karibu nchi nzima,
Hii Issue ya Faiza watu walitaka kuitumia ili kumharibia CV tu (wakaikuuuza) ila ukweli utabaki pale pale

Sugu moto chini...
Sugu moto chini

Nyimbo zake zote kali
 
matumbo umenifanya nipande juu mti nikuambie hivi asante sana
leo nimekukubali noma nomaa kwa suguuuu
mana niko mwandoya huku 3G NI SHIIDAH ila imebidi ntafute network

"wanachotaka wewee upate tabuuu"
raha kidogo chuki bila sababuuu
najua mama hilo ntalikabili
najuq jeuri dawa yake ni kiburiiii..........!!!$

TWO PROUD HOYEEEERR LONG SAANASS BONGO HIII UR ONE &ONLY LEGENDSSS....!!
SAFFFFIII@matumbo.......
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwanza asante kwa kunikumbusha kwamba jamaa alikiwa akiishi Sweden,

Kiukweli nchi hii haithamini uasisi wa vitu mbalimbali. Hii ndiomaana mpaka leo Tanzania tunashindwa kutengeneza hata soksi. Hebu angalia wazo la Maralia lililoasisiwa na Sugu akitokea USA kipindi hicho likaporwa na kile kijamaa kishenzi cha Clouds fm na kikapata mnuso wa kutosha kwa mawazo ya Sugu. Mpaka leo hii mwenye wazo lile hajanufaika lolote iwe kwa kutambuliwa au kunufaika kipesa. Hivi mtu wa namna hii anaweza kupata moyo wa kuumiza kichwa kutoa mawazo mengine mazuri kwa nchi yake??? Nasikitika sanaq kunamijitu inamdharau Sugu hapa.. laiti wangeijua thamani ya kichwa hiki ndani ya hii nchi wangeziba mibakuri yao..!!

Nikija kwenye Mziki mkuu nadhani kunatofauti kati ya mziki wa Dola Soul, Sugu, Prof J (Hiphop) na mziki Inspector Haroun, Mandojo & Domokaya (Bongofleva) So kibongobongo nikisema Bongofleva nikiijumlisha na Hip-hop, nakua kama nakosea. Lakini nikienda nje ya nchi, Bongofleva inafahamika ni mziki wowote wa Tanzania ulioktk maudhui hayo (ukijumuisha na hiphop) Ni kama jina Bongo, kwazamani ukiwa hapa nchini ukalitamka hili, unamaanisha Dareslaam. Lakini ukiwa nje ya nchi unamaanisha Tanzania..!!!

So maana yangu ilikuwa hapo, kwani inafahamika wazi mziki wa kurap ulipoanza hapa nchini ilikuwa ni hiphop pekee. Baada ya mziki huo kukua ndipo zikaanza R&B na baadaye wakaanza hawa kina Inspector Haroun kuimbaimba. Kuimba kwa Inspector na kwa Sugu ni tofauti, So nilitaka kujua ni nani aliyeanzisha hii Style ya kina Inspector ambayo tunaona mpaka sasa ndiyo iliyoshika soko na kuwatoa kina Kiba Dimpoz, Diamond, kiasi kina Madee wakaimba Hiphop haiuzi..!!!

Wish nimeeleweka mkuu Matola. gwijimimi matumbo Deo carleone for more detail.!!

BACK TANGANYIKA

yani acha kabisaaaaa......enzi za kina fanani;niga jay b4 profesa....
 
Last edited by a moderator:
bila kuwasahau 'gwm - gangstaz with matatizo' walimrudisha sugu kwenye airwaves ile mbaya na ile ngoma yao ya 'yamenikuta'....wapi 'D-chief' na "KR"

aiseeeehhhh...nyie watuuuu hadi raha ...
yamenikuta mzee mwenzangu
enzi hizo kila tamasha kubwa daimond jubileeee...
 
Mkuu Idawa,

Kwenye hiyo ngoma ya J kilikuwa na jamaa mmoja hivi kachana kwenye verse ya pili after Prof J anaitwa Simple X kashuka namna hii..

Piga makofi piga makofi, kamawewe si mkorofi
kwenye fan hauna uzushi, tunataka watu wa jeshi. Tunajirusha kimanjonjo ukileta fujo unatupwa selo. Situka uendako, utakuwa mwaminifu, usije ukapata kichapo. Hii ni fani usilete utani, Old School imelala kichwani. Nawasabahi Kimala maskani na wote waliokuwa mtoni. Ni saa za kazi we panda Jahazi. kama msanii milango iko wazi. HBC walifunga kazi, J sasa kamwaga radhiiii. Kwenye machozi jasho na damu single ni bongo Dareslaam. Wakubwa na watoto wameipokea kwa nidhamu.. Ni simple x mzee wa ngano hakuna noma mambo mswanooooooo..!!


Mkuu yaani hiyo ngoma imetulia we acha kabisa, maishairi yote yako kichwani. Ni moja ya wimbo ninaoukubali sana toka Pj kipaji halisi..!! Hakika jasho na Damu ni funzo tosha..!!!

BACK TANGANYIKA

mstari wa 27...!! nani laamesema kama fani imelala...!!
nyingine nimesahau ila sos p nomaaa
kuna sehemu anasema
sijui nini na nini sio mchezo mzuri jama..ma
 
mstari wa 27...!! nani laamesema kama fani imelala...!!


nyingine nimesahau ila sos p nomaaa


kuna sehemu anasema


sijui nini na nini sio mchezo mzuri jama..ma



Ni Sos P au Sos B?? Naikumbuka flow yake moja iko hivi.. Ni Sos B wama B, nafanya kwa bidii, Na wala sifuatilii mambo yako, peleka kule mambo yako tofauti na wenzako.... Yuko wapi huyu mtu?
 
Back
Top Bottom