Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

nauli yenyewe mia hamsini, bora nishuke chini, nikawe fiti kwa mapande ya mihogo kwa mama nitilieee, akanijazieee..ebhana weee....yamenikutaaaa

natamani sana kuisikia tena ile nyimbo..

yamenikuta mzee mwenzangi sina changuii!!
 
nauli yenyewe mia hamsini, bora nishuke chini, nikawe fiti kwa mapande ya mihogo kwa mama nitilieee, akanijazieee..ebhana weee....yamenikutaaaa

natamani sana kuisikia tena ile nyimbo..

yamenikuta mzee mwenzangi sina changuiei!
yani nyimbo hizo jamani raha sana enzi hizo raha sana
 
...tunakandya sana,sometime tunacheza dili hatari sana!...MAJOBLESS!!
..na tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana!...MAJOBLESSJOBLESS!!
Dah,sijui wako wapi hawa machizi BDP aisee!
cc Matola geniveros

majobless jobless tumechoka sanaa..!!
 
Last edited by a moderator:
matumbo
Dar DSM semaaa Dar es Salaaam X3. Hii ngoma naisikiliza tokea niko primary mpaka leo hii
Hembu gonga like kama bado unasikiliza ngoma za sugu 2015.

Dar Dsm umo ndani Sugu yupo na Balozi Dolasoul, mdundo kaufanya Master Jay. Balaa tupu mnyamwezi, natumia mobile version like yako ipo tu man.
 
Last edited by a moderator:
matumbo umenifanya nipande juu mti nikuambie hivi asante sana
leo nimekukubali noma nomaa kwa suguuuu
mana niko mwandoya huku 3G NI SHIIDAH ila imebidi ntafute network

"wanachotaka wewee upate tabuuu"
raha kidogo chuki bila sababuuu
najua mama hilo ntalikabili
najuq jeuri dawa yake ni kiburiiii..........!!!$

TWO PROUD HOYEEEERR LONG SAANASS BONGO HIII UR ONE &ONLY LEGENDSSS....!!
SAFFFFIII@matumbo.......

Poa pamoja... Leo ndio nimejua kuwa kumbe na wewe ni old tymer safi sana wadada wachache wanaelewa hivi vitu.... Sugu ni legend wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
bila kuwasahau 'gwm - gangstaz with matatizo' walimrudisha sugu kwenye airwaves ile mbaya na ile ngoma yao ya 'yamenikuta'....wapi 'D-chief' na "KR"

GWM mazimwi... Awa walikuwa na ngoma yao inaitwa cheza mbali na kasheshe.. Umo hatari Kr Doto na Kulwa na style ya uswaz awa ndio waasisi wa rap ya uswahilini ndio maana Nature anawaheshimu sana na aliwarudisha kwenye game.
 
Sugu anakwambia... Nimeanza kurap tangu David Wakati ni meneja kwenye AM na wote walinifahamu
 
Wakwanza....mwanahip hop alie saliti harakati za hip hop baada ya kupata ubunge na kupenda cheo cha uhesiniwa....
 
Wakwanza....mwanahip hop alie saliti harakati za hip hop baada ya kupata ubunge na kupenda cheo cha uhesiniwa....
Wakati mwingine usaliti ni hatua ama ngazi ya kuelekea mafanikio( jus kidding lakini)
 
asikudanganye mtu.yule mama bungeni ni pepo mbaya sana.nilimkubali sugu alivyo mchana.yeye ndoa ilimshinda alafu anafuatilia mambo ya watu.kwa kusikia ajawahi kumuhoji sugu. faiza.wajawahi kuingia mahakamani.mbaya zaidi angetetea ndoa yake kwanza.alafu ameokoka.wakati akuna kuachana
 
GWM mazimwi... Awa walikuwa na ngoma yao inaitwa cheza mbali na kasheshe.. Umo hatari Kr Doto na Kulwa na style ya uswaz awa ndio waasisi wa rap ya uswahilini ndio maana Nature anawaheshimu sana na aliwarudisha kwenye game.

kweli mdau...halaf kwenye ile video yule msela ambaye hakurap alikuwa anawapa kampani washkaji ndio alikuja kumuoa stara thomas...temeke enzi hizo ilikua kasheshe kweli...imetulia juzi juzi tu...
 
Wakwanza....mwanahip hop alie saliti harakati za hip hop baada ya kupata ubunge na kupenda cheo cha uhesiniwa....

Huyu nayee, wewe uliwahi hata kumlipia kodi ya nyumba Sugu? Unajuwa bei ya kulipia nyumba nzima Sinza kwa mwezi ni bei gani?
 
Nakupenda sana ingawa wanakuita demu wa uswahilini,
Penzi lako la kweli ndo kitu ninachothamini, kipepeo cha moyo we sema unachotaka,
Jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka,
Tulipanda milima tukaja kwenye mabonde,
Sasa na tambarale tufanye wanga wakonde,
Kote tunakopita wamemwagia mbigili,
Njoo unikumbatie tufe tukiwa wawili,
Walishakuja kwangu kunipa habari zako,
Nikawatoa mbio kulinda heshima yako.
 
Wanasema mi nakunywa weeee nalala kwenye bar
wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa
Wanasema nimeshawataka wamekataa
Kwako napiga goti twende ki supa star( Jizzle kipindi flani cha kati, baada ya hapo akaja kutoa remix ya hii ngoma na binti KOMANDO, Lilikua linaenda hivi korasi yake,
Nimeaminiiii, ulitaka uwe na mimiiii
Watu wenye fitina walileta majungu uachane na mimiiiii
 
niamini semaa
nataka uwe na mimi..mamaa
watu wenye fitina wanaleta majunguu uachane na mimi..mama
 
Hii mistari ya KR hatari sana ......

Bora nipate jiti, nikawe fiti na mapande ya mihogo
Usicheze mbali na unga robo
Moja ngoja moja mbili
Nasema na hili nakupa na hili
Nashuka shahiri kwa Kiswahili
Nauli yenyewe mia hamsini
Bora nishuke chini
Kwa mama n’tilie, anijazie
Nifanye kweli
Eee bwana, kiungwana
Toba
Sijui nijifanye omba omba? Mgogo
Nipate kitu kidogo
Nishai
 
Back
Top Bottom