Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nauli yenyewe mia hamsini, bora nishuke chini, nikawe fiti kwa mapande ya mihogo kwa mama nitilieee, akanijazieee..ebhana weee....yamenikutaaaa
natamani sana kuisikia tena ile nyimbo..
nauli yenyewe mia hamsini, bora nishuke chini, nikawe fiti kwa mapande ya mihogo kwa mama nitilieee, akanijazieee..ebhana weee....yamenikutaaaa
natamani sana kuisikia tena ile nyimbo..
matumbo
Dar DSM semaaa Dar es Salaaam X3. Hii ngoma naisikiliza tokea niko primary mpaka leo hii
Hembu gonga like kama bado unasikiliza ngoma za sugu 2015.
matumbo umenifanya nipande juu mti nikuambie hivi asante sana
leo nimekukubali noma nomaa kwa suguuuu
mana niko mwandoya huku 3G NI SHIIDAH ila imebidi ntafute network
"wanachotaka wewee upate tabuuu"
raha kidogo chuki bila sababuuu
najua mama hilo ntalikabili
najuq jeuri dawa yake ni kiburiiii..........!!!$
TWO PROUD HOYEEEERR LONG SAANASS BONGO HIII UR ONE &ONLY LEGENDSSS....!!
SAFFFFIII@matumbo.......
bila kuwasahau 'gwm - gangstaz with matatizo' walimrudisha sugu kwenye airwaves ile mbaya na ile ngoma yao ya 'yamenikuta'....wapi 'D-chief' na "KR"
Kumbe ao BDPni machizi basi watakuwa muhimbili hospital
Wakati mwingine usaliti ni hatua ama ngazi ya kuelekea mafanikio( jus kidding lakini)Wakwanza....mwanahip hop alie saliti harakati za hip hop baada ya kupata ubunge na kupenda cheo cha uhesiniwa....
GWM mazimwi... Awa walikuwa na ngoma yao inaitwa cheza mbali na kasheshe.. Umo hatari Kr Doto na Kulwa na style ya uswaz awa ndio waasisi wa rap ya uswahilini ndio maana Nature anawaheshimu sana na aliwarudisha kwenye game.
Wakwanza....mwanahip hop alie saliti harakati za hip hop baada ya kupata ubunge na kupenda cheo cha uhesiniwa....
Wanasema mi nakunywa weeee nalala kwenye bar
wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa
Wanasema nimeshawataka wamekataa
Kwako napiga goti twende ki supa star( Jizzle kipindi flani cha kati, baada ya hapo akaja kutoa remix ya hii ngoma na binti KOMANDO, Lilikua linaenda hivi korasi yake,
Nimeaminiiii, ulitaka uwe na mimiiii
Watu wenye fitina walileta majungu uachane na mimiiiii
jamaa (sos b) amejaribu kuwekeza...kafungua club mabibo external jina lake mwanzoni lilikua "le mambo" sasa hivi ina jina lingine nimelisahau kidogo..