Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Nawewe ni kichaa mmoja wapo! sasa ukiandika jina la mtu vizuri utapungukiwa nini?Huyo Mangi Kimavi atawapotezea muda bure tu....vipi kama mnamkamata alafu mnagundua ni mgonjwa wa akili (in fact kuna 90% uwezekano huo).....
Kama mkamuweka selo akaanza kujitupatupa au kupakaza choo kwenye kuta za selo....mwishowe mtamuachia tu...so mi ningedhani ni bora mkamuacha.
.......unless kama mmemuandalia electric chair......
Haya sasa baada ya kuandika ivo umempunguzia huo ukichaa!