Nani kamponza Mama Rita Mlaki kumjibu Mange ?

Nani kamponza Mama Rita Mlaki kumjibu Mange ?

Mange sio kichaa.......ana akili zake timamu......
Sijui kwa nini yeye akitukanwa watu huwa hamuoni......na mbaya zaidi huwa hakurupuki kukutukana......anakuloweka kwanza....ukolee sabuni weeeee.......siku ya kukusuuza na kukuanika.......ndio utamfehemu.......
Mi namwelewa sana........
 
Aliyemponza huyo mama ni Binti yake, anaitwa Nambua huyo ndio chanzo cha yote.
 
Mange sio kichaa.......ana akili zake timamu......
Sijui kwa nini yeye akitukwanwa watu huwa hamuoni......na mbaya zaidi huwa hakurupuki kukutukana......anakuloweka kwanza....ukolee sabuni weeeee.......siku ya kukusuuza na kukuanika.......ndio utamfehemu.......
Mi namwelewa sana........
CC Rebeca 83
 
Wabongo hatupendi utter truth(ukweli) tunapenda vitu viwe sugar coated,sasa huyu maza na binti yake wameenda kuchokonoa mzinga wa nyuki(mange) wakitarajia wapate asali mwisho wake wameotea manundu(matusi)
Mange kalipiza kisasi,hakuna baya kwa kulipiza kisasi coz hata dini inaruhusu:jino kwa jino they say!!! VUMILIA TUU
MANGE HAPENDAGI UJINGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali lililokosa jibu kwangu ni vipi Mange wanamshindwa ......... Ni vile yuko nje au nini haswa .......Huyo mnamuita Tanzani na mnajifanya mnataka kumpa dili,kama la ccm au CDM na akifika tu mnampeleka akamsalimie faza ovu ze nesheni.
Hii nimeipenda ila naamini ipo siku tu atakanyaga nyaya zisizokanyagwa ndio atakapokijua chamtema kuni
 
NO DATA NO HAKI YA KUONGEA... kama hujui chanzo ungeanza kwa kuuliza siyo ku-take side then uje uombe kupewa hali ilivyo wakati umeshakuwa biased bila kujua chanzo...

WATANI ZANGU WABENA HUWAGA WANASEMA. .. MUWAGE MUNAULISAGA KWANSA
Wewe nawe ni mkuda tu funga bakuli lako km huwezi kukitaja hicho alichofanyiwa mange
 
Ila mange ana matusi Hatari utafikiri mtoto aliyekulia uswazi tena ile uwanja wa fisi.
 
Mange sio kichaa.......ana akili zake timamu......
Sijui kwa nini yeye akitukanwa watu huwa hamuoni......na mbaya zaidi huwa hakurupuki kukutukana......anakuloweka kwanza....ukolee sabuni weeeee.......siku ya kukusuuza na kukuanika.......ndio utamfehemu.......
Mi namwelewa sana........
Apite mbali nami
 
yes.sijui chanzo nimeona tu post ya mama mlaki,sibishi na sitaki kubishana na yeyote,kama wewe ulivyochukua side ya Mange,mimi nimechukua side ya mama mlaki,pole km hili limekukwaza.
hana chanzo rasmi wala nn cha kumtukana mama wa watu!

sababu ni mwanawe Cassandra kulike na kukomenti kwa baadhi ya watu wanaomponda Mange...

Kosa la mtoto ndo umtukane mama mtu!!!??

Mange ni mtu ambae anaoneka kabisa ana stress nyingi sana!
 
Sijaona sehemu alipofanya majibizano. Nimeona tu akijaribu kusema kile ambacho ni sahihi. Who is Mange?
Kwani majibizano ni nini ? As she mentioned her. Who is mange then is clear that she started the majibizano....
 
Huyu Mange wanampa ujiko wa bure, dawa yake ni kukata na kufunua kama unapiga mwanaume. Unang'oa meno ya barazani halafu unaondoka na kipande cha wig. Akiamka asubuhi biscut anaita bithkuth.
Mazingira ya kitanzania ninayoijua mimi huwezi kutukana tu watu hata ukiwa chizi lazima upewe discipline.
 
Hakuna watu nawaona wapumbavu km wanaomtetea huyo malaya kichaa, ni kwamba utatukanwa ww na familia yako kisa kaona ume like au Ku comment kwenye post ambayo yeye anasemwa kwa tabia zake tena hizo hizo za kusema watu.
Sema huko kuna matusi makali na hao yeye hawajui.ndo hapo uki comment na id yako original unapatwa nae.
 
Back
Top Bottom