Nawewe ni kichaa mmoja wapo! sasa ukiandika jina la mtu vizuri utapungukiwa nini?Huyo Mangi Kimavi atawapotezea muda bure tu....vipi kama mnamkamata alafu mnagundua ni mgonjwa wa akili (in fact kuna 90% uwezekano huo).....
Kama mkamuweka selo akaanza kujitupatupa au kupakaza choo kwenye kuta za selo....mwishowe mtamuachia tu...so mi ningedhani ni bora mkamuacha.
.......unless kama mmemuandalia electric chair......
kesi ya t..co hulipwa kwa t..co.Nawewe ni kichaa mmoja wapo! sasa ukiandika jina la mtu vizuri utapungukiwa nini?
Haya sasa baada ya kuandika ivo umempunguzia huo ukichaa!
Sijaona sehemu alipofanya majibizano. Nimeona tu akijaribu kusema kile ambacho ni sahihi. Who is Mange?Hata Kama ni haki ila so kwa mitandao. She needs a manager to manage her account. Hawezi mabishano mitandaoni Hata kidogo.
Tatizo mna-deal na outcome... alichofanyiwa Mange na familia ya mam Ritha Mlaki mnakijua..??pole sana mama Rita,Mange ni socialite,ila kiundani ni social reject,watu wa hivi wanakuwaga wanyama,bora ujinyamazie mama Rita,hana mama huyo,haoni tabu kuwadhalilisha mama wa wenzie,
Mume wako naomba Mungu akupe ujasiri,uvumilie hizi kashfa.
Tatizo mna-deal na outcome... alichofanyiwa Mange na familia ya mam Ritha Mlaki mnakijua..??
Mange ni mtu ambaye ukimchokoza kwa matusi au kashfa juu yake, atakuwekea yako ya sirini hadharani..Sijaona sehemu alipofanya majibizano. Nimeona tu akijaribu kusema kile ambacho ni sahihi. Who is Mange?
1. Inaonyesha hujui chanzoNingemuona ana haki,asingemdhalilisha huyo mama hivyo,anyway tueleze walichomfanyia mange,mie siku hizi nimepunguza umbea by 50% lol
1. Inaonyesha hujui chanzo
2. Inaonyesha hujui Mange kafanyiwa nini na familia ya mama Ritha
Umepunguza umbea kwa 50% halafu unawabisha unachoambiwa....
NO DATA NO HAKI YA KUONGEA... kama hujui chanzo ungeanza kwa kuuliza siyo ku-take side then uje uombe kupewa hali ilivyo wakati umeshakuwa biased bila kujua chanzo...yes.sijui chanzo nimeona tu post ya mama mlaki,sibishi na sitaki kubishana na yeyote,kama wewe ulivyochukua side ya Mange,mimi nimechukua side ya mama mlaki,pole km hili limekukwaza.
NO DATA NO HAKI YA KUONGEA... kama hujui chanzo ungeanza kwa kuuliza siyo ku-take side then uje uombe kupewa hali ilivyo wakati umeshakuwa biased bila kujua chanzo...
WATANI ZANGU WABENA HUWAGA WANASEMA. .. MUWAGE MUNAULISAGA KWANSA
Ningemuona ana haki,asingemdhalilisha huyo mama hivyo,anyway tueleze walichomfanyia mange,mie siku hizi nimepunguza umbea by 50% lol
Nimeulisa, nijibu basiNO DATA NO HAKI YA KUONGEA... kama hujui chanzo ungeanza kwa kuuliza siyo ku-take side then uje uombe kupewa hali ilivyo wakati umeshakuwa biased bila kujua chanzo...
WATANI ZANGU WABENA HUWAGA WANASEMA. .. MUWAGE MUNAULISAGA KWANSA
Uulize ili unapoandika uandike vitu au mambo unayoyajua...wewe nae,niulize chanzo ili iweje???kama wewe una data,tuambie kwa nini yeye kila siku ndio wa kutafutwa na watu?? I mean kwa nini kila ugomvi ni yeye ku play victim card kuwa yeye ni muhanga ,na sio mchokozi,tuna familia hapa iko katika hali tete,
Sijibugi mutu ambaye yuko uoande tayari....Nimeulisa, nijibu basi
Uulize ili unapoandika uandike vitu au mambo unayoyajua...
Only by 50%!? Reduce it to 0% good luck and all the best.
Pitia na hapa utapata hints kadhaaNaona umekuwa mpole lol,haya usiku mwema.
Huyo ana 100% ya umbea.. mtu akiacha umbea harudi kuulizauliza yaliyompita....Only by 50%!? Reduce it to 0% good luck and all the best.
Pitia na hapa utapata hints kadhaa
Waziri wa Mkapa aomba haki itendeke baada ya kudhalilishwa mtandaoni
ASANTE KWA KUNITAKIA USIKU MWEMA... NA WEWE PIA