We tulishatakiana usiku mwema, nini tena..??!naona unataka kuniingiza kny kushindania kombe la mbuzi,hunipati n'goo,
CC Rebeca 83Mange sio kichaa.......ana akili zake timamu......
Sijui kwa nini yeye akitukwanwa watu huwa hamuoni......na mbaya zaidi huwa hakurupuki kukutukana......anakuloweka kwanza....ukolee sabuni weeeee.......siku ya kukusuuza na kukuanika.......ndio utamfehemu.......
Mi namwelewa sana........
CC Rebeca 83Aliyemponza huyo mama ni Binti yake, anaitwa Nambua huyo ndio chanzo cha yote.
Hii nimeipenda ila naamini ipo siku tu atakanyaga nyaya zisizokanyagwa ndio atakapokijua chamtema kuniSwali lililokosa jibu kwangu ni vipi Mange wanamshindwa ......... Ni vile yuko nje au nini haswa .......Huyo mnamuita Tanzani na mnajifanya mnataka kumpa dili,kama la ccm au CDM na akifika tu mnampeleka akamsalimie faza ovu ze nesheni.
KitajeTatizo mna-deal na outcome... alichofanyiwa Mange na familia ya mam Ritha Mlaki mnakijua..??
Wewe nawe ni mkuda tu funga bakuli lako km huwezi kukitaja hicho alichofanyiwa mangeNO DATA NO HAKI YA KUONGEA... kama hujui chanzo ungeanza kwa kuuliza siyo ku-take side then uje uombe kupewa hali ilivyo wakati umeshakuwa biased bila kujua chanzo...
WATANI ZANGU WABENA HUWAGA WANASEMA. .. MUWAGE MUNAULISAGA KWANSA
tabby naomba kuuliza unaishi Stockholm?
Apite mbali namiMange sio kichaa.......ana akili zake timamu......
Sijui kwa nini yeye akitukanwa watu huwa hamuoni......na mbaya zaidi huwa hakurupuki kukutukana......anakuloweka kwanza....ukolee sabuni weeeee.......siku ya kukusuuza na kukuanika.......ndio utamfehemu.......
Mi namwelewa sana........
hana chanzo rasmi wala nn cha kumtukana mama wa watu!yes.sijui chanzo nimeona tu post ya mama mlaki,sibishi na sitaki kubishana na yeyote,kama wewe ulivyochukua side ya Mange,mimi nimechukua side ya mama mlaki,pole km hili limekukwaza.
Kwani majibizano ni nini ? As she mentioned her. Who is mange then is clear that she started the majibizano....Sijaona sehemu alipofanya majibizano. Nimeona tu akijaribu kusema kile ambacho ni sahihi. Who is Mange?
Asante............. ahahahahahahaa NAFUNGA..Wewe nawe ni mkuda tu funga bakuli lako km huwezi kukitaja hicho alichofanyiwa mange
Funguka mkuu. Yawezekana kuna jambo ambalo linaweza kutusaidia soteTatizo mna-deal na outcome... alichofanyiwa Mange na familia ya mam Ritha Mlaki mnakijua..??