PreGE2025 Nani kamsikia Makalla akisemea dhidi ya ufisadi ulooneshwa na CAG, utekaji na, mauaji holela ya raia huko majukwaani zaidi ya kuitaja CHADEMA?

PreGE2025 Nani kamsikia Makalla akisemea dhidi ya ufisadi ulooneshwa na CAG, utekaji na, mauaji holela ya raia huko majukwaani zaidi ya kuitaja CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Wadau hamjamboni?

Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi.

Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi ulotajwa na CAG. Kama hiyo haitoshi, sijamsikia hata mara moja akikemea vitendo vya kupoteza, kuteka na kuua watu vinavyofanywa na watu wasiojulikana.

Je, ni kwa bahati mbaya au makusudi
 
Kwa usafi gani alionao ?

Huyu Amos makalla ni sawa na headless chicken
 
mtu mwenye ukimwi wa akili unaweza kumsikiliza
 
Back
Top Bottom