Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Zitto mnamuonea. Hakumuombea msamaha bali alitaka aachiwe ili awe nao. Mheshimiwa Rais ndie aliyezungumzia mambo ya kusameheana. Aidha, Zitto alizungumzia changamoto za kisheria lakini ni Mheshimiwa Rais ndie alizungumzia haja ya kufuata sheria! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kilichomponza Zitto ni unfortunate choice of words lakini dhamira yake ilikuwa nzuri.Alitakiwa kuheshimu sheria! Hiyo siyo huruma ya kumwona mtu ni mkosaji kabla ya yeye kukiri au kuhukumiwa hivyo na mahakama. Si vema kumtia mtu hatiani pasipo sheria!
Amandla...