Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Zitto mnamuonea. Hakumuombea msamaha bali alitaka aachiwe ili awe nao. Mheshimiwa Rais ndie aliyezungumzia mambo ya kusameheana. Aidha, Zitto alizungumzia changamoto za kisheria lakini ni Mheshimiwa Rais ndie alizungumzia haja ya kufuata sheria! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kilichomponza Zitto ni unfortunate choice of words lakini dhamira yake ilikuwa nzuri.Alitakiwa kuheshimu sheria! Hiyo siyo huruma ya kumwona mtu ni mkosaji kabla ya yeye kukiri au kuhukumiwa hivyo na mahakama. Si vema kumtia mtu hatiani pasipo sheria!
Zitto aliomba aachiwe, hakumuombea msamaha. Serikali kupitia DPP inaweza kutangaza kuwa haina haja ya kuendelea na kesi hata kabla ya hukumu kutolewa. Lugemarila alikataa kukiri kosa na mwisho akatoka kwa njia hiyo, heshima yake ikiwa intact. Labda hofu ni Mbowe kuifungulia mashtaka serikali kwa kutomtendea haki.Mpaka sasa Freeman hana hatia au makosa hadi itakapothibitika vinginevyo mahakamani. Hata huko kuachiwa huru ni pale itakapothibitika kuwa hana hatia kwa mujibu wa sheria na mwenendo wa mashauri yaliyoko mahakani.
Msamaha anaomba au anaombewa mkosaji, Freeman haba kosa lolote kwa sasa! Hapo ndipo Zitto alipaswa kusubiri au kukaa kimya kuliko kumwombea msamaha mtu asiye na kosa au hatia. Ni kama vile anamhukumu kabla ya kuhukumiwa kisheria!
Maridhiano sio kuomba msamaha. Ni haki ya Chadema kama chama cha siasa kutaka yawepo maridhiano kati yao na mpinzani wao. Majadiliano ya hayo maridhiano ndio yangeweka wazi wajibu na matarajio ya kila pande iliyomo katika majadiliano. Maridhiano yangeweza kuzaa Tume Huru ya Uchaguzi, Truth and Reconciliation Commission n.k. Naamini hadi leo Chadema wangependa yawepo maridhiano kati yake na CCM/ Serikali. Sio kosa kutaka hilo.Nanyi mlitumwa na nani kuomba maridhiano na Magufuli, Desemba 9, 2021? 🙄 View attachment 2049768
Rais haachii mahabusu, bali anawaachia au kuwasamehe wafungwa kwa mujibu wa sheria. Freeman siyo mfungwa na hadi sasa hana hatia!Zitto mnamuonea. Hakumuombea msamaha bali alitaka aachiwe ili awe nao. Mheshimiwa Rais ndie aliyezungumzia mambo ya kusameheana. Aidha, Zitto alizungumzia changamoto za kisheria lakini ni Mheshimiwa Rais ndie alizungumzia haja ya kufuata sheria! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kilichomponza Zitto ni unfortunate choice of words lakini dhamira yake ilikuwa nzuri.
Amandla...
Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.Nyaraka hazikuwa na maana ya "kuomba msamaha" kama Zitto alivyoamua kupotosha umma mbele ya Rais.
Na Yericko Nyerere
Wahusika wameiona hii......
Asante sana Kwa utabiri wako ndugu Mganga mpiga ramli,bila shaka ulitabiri hata kuhusu kina Bananga, Nassary,Mashinji,na kontena lote lililozawadiwa vyeo kutoka ChademaZito ni mtu asiyeleweka anasimamia nini. Kila mahali ni kigeugeu.
Huo ukigeugeu, kama unaoendwa ACT, angeufungia uzunguke humo humo, kuliko kwenda kuuchomeka kwenye taasisi nyingine.
Leo hii, itokee Zito ameahidiwa na CCM nafasi kubwa ya uongozi, kwa mfano Uwaziri Mkuu, hakika kesho yake ACT haitakuwa na kiongozi mkuu, kama anavyojiita. Kikubwa kwa Zito ni tamaa ya madaraka, hakuna kingine anachosimamia.
Atakwambia umenunuliwa 😅😅😅😅Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.
Tatizo lako wewe na wengi wenu ni low IQ, kwa kifupi Chadema ina vilaza sana!. Umeandika bandiko hili refu refu lote kwa ukilaza tuu wa low IQ kushindwa kuona Zitto alisema nini!. Vilaza kama wewe mliotamalaki Chedema ndio mnakifanya Chadema kuendelea kuwa ni chama cha kiharakati badala ya chama tawala in waiting!.
Aliyezungumzia kusameheana kupo ni rais Mama Samia, usimlishe Zitto maneno!. Kama hukumwelewa Zitto, sema tukueleweshe!.
Ukipata nafasi, nunua gazeti la Nipashe la leo, nenda ukurasa wa 7, kuna kitu kinakuhusu.
Jumapili Njema.
P
Sikutegemea umri Kama wako ungetumia maneno makali Kama hayo...Ulichosahau Ni kuwa wewe Ni mgombea ubunge wa Cha mapinduzi aliyepata kura moja na sio mwandishi wa habari...Tatizo lako wewe na wengi wenu ni low IQ, kwa kifupi Chadema ina vilaza sana
Sidhani kama Zitto amepewa mshiko au ameahidiwa chochote na CCM. Naamini kabisa kuwa anaumia sana anapoona Mbowe yuko ndani na angependa kushiriki katika juhudi za kuhakikisha anatoka rumande. Kosa alilolifanya ( na mwenyewe amekiri) ni uchaguzi mbaya wa maneno, kuanzia alipowazungumzia ambao hawakuhudhuria kikao hadi suala la Mbowe. Nadhani hakutaka kumkera Mwenyekiti wa CCM kwa kuhofia kuwa ndio angevunja daraja kati ya chama chake na CCM. Hapo ndipo alipokosea na ndio maana Chadema wamemshukia kama mwewe.
Sidhani kama angeshambuliwa kama angesema wazi kuwa kesi ya Mbowe haina tija ( kama angehofia kusema ni ya kutunga) kwa hiyo aachiwe mapema iwezekanavyo kama ambavyo anasema siku zote. Yeye akataka aonekane diplomatic na ndio imem cost.
Amandla...
Wewe umemsikia Zitto akimuombea mtu msamaha... au na wewe ni ....?.Sikutegemea ungetumia maneno makali Kama hayo...Ulichosahau Ni kuwa wewe sio mwandishi wa habari...
Note:Mimi sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote.
DPP anaweza kufuta mashtaka yeyote kabla hukumu haijatolewa. Na katika nchi yetu wana imani kuwa Rais anaweza kumuagiza aachane na kesi yeyote inayoendelea kwa vile DPP ni mteule wake.Rais haachii mahabusu, bali anawaachia au kuwasamehe wafungwa kwa mujibu wa sheria. Freeman siyo mfungwa na hadi sasa hana hatia!