Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nipo nasikiliza wimbo wa konde boy- vibayaWajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.
Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.
Mie sijammiss mtu labda hela
Acha uchawaUnique Flower ni mtu poa basi watu hawamwelewiπ€£π€£
Twende outing basiMimi nimekumisi wewe uwa la kipekee. Mtoto mzuri.
Umekula maharage ya wapi?Acha uchawa
Umepanic broUmekula maharage ya wapi?
Waambie baba acha nao bestiUnique Flower ni mtu poa basi watu hawamwelewiπ€£π€£
Acha uchokozi haya utapigwa ban anashare jamii forumsUmepanic bro
Kuna tatizo kubwa mahali, au ndio vile kila mtu na lifestyle yake humu.Mi nahisi ni mwanamke kweli ila stress za mahusiano zimemfanya kukata tamaa kifupi dada ni mgonjwa. Zamani hakuwa hivi kabisa
Siku hizi umeamua kunipondea najaza tu makosa nikikufungia vioo sijui kama utahema humu utabadili I'd Yako walahiKuna tatizo kubwa mahali, au ndio vile kila mtu na lifestyle yake humu.
Mi nahisi ni mwanamke kweli ila stress za mahusiano zimemfanya kukata tamaa kifupi dada ni mgonjwa. Zamani hakuwa hivi kabisa
Hakuna wa kunifanya nibadili π.Siku hizi umeamua kunipondea najaza tu makosa nikikufungia vioo sijui kama utahema humu utabadili I'd Yako walahi
Niliyemmiss nimemwignore sasa itakuwaje[emoji848]
Mimi hapa siku hzii unaringa sana Sasa ngoja sawa Yako naipikaHakuna wa kunifanya nibadili π.
Mtizamo wako tu kuwa naringa, ila siringi wala sina cha kuringia.Mimi hapa siku hzii unaringa sana Sasa ngoja sawa Yako naipika
Hivi kwanini hujalike kwenye wale walisema mie ni mwanaumeMtizamo wako tu kuwa naringa, ila siringi wala sina cha kuringia.
Sawa mkuuKill that Ego, mtafute