Nani kanimiss?

Nani kanimiss?

Wajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.

Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.

Mie sijammiss mtu labda hela
Nipo nasikiliza wimbo wa konde boy- vibaya

Huku nakula apple๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ

Apple tunda sio vingine ๐ŸŽ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ

๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿ˜Š๐ŸŒ๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom