Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Niliwahi kumkoromea mara kadhaa kuwa asiniquote kwenye nyuzi zake.Kweli kabisa, mwanzoni nilikuwa simuelewei kabisa hata threads zake nilikuwa naskip ila taratibu nikaanza kuona mbona yupo tofauti na navyomdhania.
Baadae nikaona ninamkatili bure tu hana baya na mtu ...ndivyo alivyo🤣🤣