Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
ππππ wazimu tu umekujaaMiss you too baby π
πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ wazimu tu umekujaaMiss you too baby π
πππ
ππππNa mimi nimekusoma
Na π€ tucheke wote wote π
π€afu inawezekana π
Baby bee/honeyπ₯°ππππ wazimu tu umekujaa
Mwambie ache wanawake na awaheshimu kabisa kwanini aniite kichaa just imagine ungeitwa weweShogaa sijakuzoea kutukana.
Usimtukane huyo mtu jaman my π
LiaMimi na Half american tutataoneka wajinga sana kukufagilia ghafla unaanza lugha kama hizi?
Si ungempotezea tu?
Huyo aweza kuwa sawa na baba yako kwa umri ujue.
Umeniumiza sana
Mnajifanya mmnanisifia kumbe mnanisagiaNimefanya nini ?
Siwezi nikakufanyia hivyo, aminiMnajifanya mmnanisifia kumbe mnanisagia
Kiakili lakini
carlina,Pa' Mac Alpho sijui kwanini nimeisoma hii comment nikajikuta nacheka sana..!!
Nimekumiss vibayaKamanda wangu mwenyewe,
Asantee nimekumiss pia π₯°πππUnique Flower wewe hapo nimekumiss
Sawa ila usingejibu basi kama hakuna umuhimuHahah...
Kati ya vitu huwa havinisumbui ni kutukanwa na watu aina yako...
Unanijiona tu ila Huna lolote kapanya road weweMuombee tu mtu kama huyu...ni wa kumuhurumia
Umekosa kazi wew jamaaWajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.
Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.
Mie sijammiss mtu labda hela